Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Inspection elbow au elbow yenye mfuniko hii matumizi yake ni kupokea uchafu wa choo kuelekea kwenye chemba..

Umuhimu wake endapo kuna uchafu umeziba ni lahisi kufungua na kufanya matengenezo... Hakikisha elbow inayo pokea uchafu wa chooni ni inspection elbow
 
Choo kizuri sana kina trap yake shida ya hiki choo kina itaji mtu mstaharabu sana maana kuziba ni haraka hakiitaji kuingiza vitu ambavyo ni nje ya ilivyo kusudiwa
 
Kwa kulinda ukuta na maji au fangas si vyema chemba ika anzia ukutani ina bisi isogee mbele kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…