Habari wakuu nimekuwa niki ulizwa kwanini flush tank kwenye choo cha kuchuchumaa presha ina kuwa ndogo sana wakati flush tank lime jaa maji au mtu mwingine ana kwambia mbona flush tank lipo juu na bado presha ni ndogo..
Kika waida flush cistern tank lime tengenezwa kuifadhi maji ambayo uta yatumia kuondoa uchafu baada ya aja..
Ukiona flush tank lina presha ndogo basi hizi ndizo sababu..
1.Baadhi ununua choo na kufanya setting huku akitegemea flush tank atanunua badae nini kina tokea mafundi ujenzi wakianza kupiga plasta udongo uingia kwenye tundu la kupitisha bomba la maji yanayo toka kwenye flush tank hivyo kupelekea maji kupita kidogo..
2.Kuna mafundi wanaweka maboksi kuziba hili badae hili badae flush tank liki nunuliwa waweke bomba zake so nayo yana weza kupelekea kuziba kwa tundu la hilo..
3..Choo kingine kinatoka kiwandani kikiwa na kasoro...
Nini ufanye ukikutana na shida hiyo ya presha kuwa ndogo mtafute fundi bomba apasue outlet ya ya choo cha kuchuchumaa kwa uangalifu na tatizo litakuwa limeisha na presha ita ongezeka
Kuna picha hapo chini ya choo ina helufi H hapo ndio kuna hilo tundu la outlet...