Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Ngoja nijichange aisee. Ila hicho choo hivi tanki lake linakuwa haliharibiki?? Huko ndani likiharibika maana yake patabidi pabomolewe kutengeneza?
Lina halibika lakini ukichukua brand nzuri ni mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…