HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Mashine za kufulia nyingi hazivuki 2milUchumi hela ndio ina amua ila ni vyema kwenye ujenzi ukafikilia mbali sana kuweka matoleo ata kama itachukua mda mrefu kumaliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashine za kufulia nyingi hazivuki 2milUchumi hela ndio ina amua ila ni vyema kwenye ujenzi ukafikilia mbali sana kuweka matoleo ata kama itachukua mda mrefu kumaliza
Kweli tatizo kipatoMashine za kufulia nyingi hazivuki 2mil
Jacuzzi kama ilo ni Tsh ngapi
Laki naneJacuzzi kama ilo ni Tsh ngapi
Pipe ya nini hii?
Vent pipe ya kuondolea gas ndani ya chemba pia ina saidia chemba kupumua na kuzipa uhai mrefu na mwisho ni kuondoa halufu...Pipe ya nini hii?