Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Maji baridi&moto awamu ya kwanza
FB_IMG_16619583277897026.jpg
 
Siku hizi tuna zificha bomba za maji taka (waste pipe) kwenye msingi zisionekane kitakacho baki kinaonekana ni endcape mfuniko wa elbow au tee chamber zingatia kuwa kama nyumba aijapigwa mkanda wa zege hii haifai ita sababisha nyufa kwenye nyumba yako...Ni bora zionekane tu..
FB_IMG_16770410742596495.jpg
 
Nime kuwa nikiulizwa kuhusu hii heater inachukua lita 50 wengi wana uliza ina weza kufungwa hii tu ikatumiaka nyumba nzima jibu ni ndio kutegemeana ramani ikiwa vyumba vipo mwelekeo mmoja hii ina faa lakini ikiwa vyumba havipo mwelekeo mmoja hii haifai kwa sabubu itatumika nguvu nyingi kutindua kuta kila mahali hii ni hatari kwa usalama wa nyumba ni heri kununua heater ya lita kumi kwa kila chumba..
FB_IMG_16741835745257008.jpg
 
Nime kuwa nikiulizwa kuhusu hii heater inachukua lita 50 wengi wana uliza ina weza kufungwa hii tu ikatumiaka nyumba nzima jibu ni ndio kutegemeana ramani ikiwa vyumba vipo mwelekeo mmoja hii ina faa lakini ikiwa vyumba havipo mwelekeo mmoja hii haifai kwa sabubu itatumika nguvu nyingi kutindua kuta kila mahali hii ni hatari kwa usalama wa nyumba ni heri kununua heater ya lita kumi kwa kila chumba..View attachment 2536609
Vipi kama nataka kutumia solar heater, si bado utatindua kila chumba, je una shauri gani kati ya kutumia solar heater au kuweka heater kila chumba ? plumber hydrogen
 
Ya solar ni nzuri ila ya umeme kwangu mi ni bora zaidi heater moja una weza kushea ikiwa vyoo vmefuatana aina shida nilicho zilungumza ikiwa ni moja kwa nyumba nzima maana yake nyumba itatunduliwa sana na pressure ya maji ina weza kuwa ndogo tofauti ikiwa chumba kikijitegemea au kikishea na chumba kingine
 
Asante kwa maelezo yako plumber hydrogen , naomba kujua kwa hotels na nyumba kubwa, wana shauri sana kutumia Solar heater, tena kwa baadhi ya nchi ni kama sera kabisa hotels zitumie solar heaters, wanafanyaje ili kutopata changamoto ya pressure ya maji moto na utinduaji wa ukuta?
 
Kwanza mkuu kuna heater na boiler...Boiler ni mfumo ambao unatumiaka katika tasisi au sehemu zenye watu wengi mfano hospital hotelini mashuleni n.k hizi water heater zina tumika sehemu zenye matumizi madogo japo kitaalamu nazo ni boiler kwa sabubu ndani zimetengenezwa kwa mfumo huo huo wa boiler... Tuje kitaalam jengo lefu ghorofa mfumo wake ni ( indirect system) kikanuni maji yatatoka chini kwenda juu kwenye tank then yasambae ndani kwa hiyo pressure ina kuwa ya uhakika ata installation yake ina kuwa lahisi.. Ukitumia mfumo wa (direct system ) pressure itakuwa sio ya uhakika baadhi sehemu maji yana weza yasifike..Kwa upande wa heater hiwe ya solar au umeme ina weza kutumika moja kwanini? Maji moto yatatoka juu kusambaa kwa kushuka ndani na kwa pressure nzuri na uwekaji wa installation zake pia sio mgumu kwanini watu wa ulaya wanapenda solar heater labda kwa sababu za kimazingira na uendeshaji wake ni gharama ndogo sana...
 
Asante kiongozi, Ubarikiwe.
 
Huu uzi kwa sisi tunaoendelea kujenge yaani tunasmile kwa mbaaali, huku tukiwaza jinsi tutakavowabana koo wakina fundi Maiko.

Mardadi sana.

Ahsante mleta uzi huu.
 
Back
Top Bottom