Scrum Master
JF-Expert Member
- Apr 28, 2021
- 243
- 424
OkayVent pipe ya kuondolea gas ndani ya chemba pia ina saidia chemba kupumua na kuzipa uhai mrefu na mwisho ni kuondoa halufu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkayVent pipe ya kuondolea gas ndani ya chemba pia ina saidia chemba kupumua na kuzipa uhai mrefu na mwisho ni kuondoa halufu...
Hii heater ikoje mkuu, check WhatsApp nimekutext200,000
Maji baridi&moto awamu ya kwanza View attachment 2536591
Kweli mkuu nashukuru napata wateja na ninafanya kwa uhaminifu mkubwaKwa huu uzi utajikuta unapata wateja wengi sana hadi kazi zitakushinda mwenyewe
Ziko poa sana fundi yuko poaView attachment 2536596
Nimempenda fundi aliyebandika hizo tiles
Yeah, haya ndiyo tulitegemea yafundishwe vetaZiko poa sana fundi yuko poa
Mkuu Veta wako poa imetutoa wengi mafundi wazuri wenye kufuata kanuni cha msingi waongezewe vitendea kazi kwenye vyuoYeah, haya ndiyo tulitegemea yafundishwe veta
Vipi kama nataka kutumia solar heater, si bado utatindua kila chumba, je una shauri gani kati ya kutumia solar heater au kuweka heater kila chumba ? plumber hydrogenNime kuwa nikiulizwa kuhusu hii heater inachukua lita 50 wengi wana uliza ina weza kufungwa hii tu ikatumiaka nyumba nzima jibu ni ndio kutegemeana ramani ikiwa vyumba vipo mwelekeo mmoja hii ina faa lakini ikiwa vyumba havipo mwelekeo mmoja hii haifai kwa sabubu itatumika nguvu nyingi kutindua kuta kila mahali hii ni hatari kwa usalama wa nyumba ni heri kununua heater ya lita kumi kwa kila chumba..View attachment 2536609
Ya solar ni nzuri ila ya umeme kwangu mi ni bora zaidi heater moja una weza kushea ikiwa vyoo vmefuatana aina shida nilicho zilungumza ikiwa ni moja kwa nyumba nzima maana yake nyumba itatunduliwa sana na pressure ya maji ina weza kuwa ndogo tofauti ikiwa chumba kikijitegemea au kikishea na chumba kingineVipi kama nataka kutumia solar heater, si bado utatindua kila chumba, je una shauri gani kati ya kutumia solar heater au kuweka heater kila chumba ? plumber hydrogen
Asante kwa maelezo yako plumber hydrogen , naomba kujua kwa hotels na nyumba kubwa, wana shauri sana kutumia Solar heater, tena kwa baadhi ya nchi ni kama sera kabisa hotels zitumie solar heaters, wanafanyaje ili kutopata changamoto ya pressure ya maji moto na utinduaji wa ukuta?Ya solar ni nzuri ila ya umeme kwangu mi ni bora zaidi heater moja una weza kushea ikiwa vyoo vmefuatana aina shida nilicho zilungumza ikiwa ni moja kwa nyumba nzima maana yake nyumba itatunduliwa sana na pressure ya maji ina weza kuwa ndogo tofauti ikiwa chumba kikijitegemea au kikishea na chumba kingine
Kwanza mkuu kuna heater na boiler...Boiler ni mfumo ambao unatumiaka katika tasisi au sehemu zenye watu wengi mfano hospital hotelini mashuleni n.k hizi water heater zina tumika sehemu zenye matumizi madogo japo kitaalamu nazo ni boiler kwa sabubu ndani zimetengenezwa kwa mfumo huo huo wa boiler... Tuje kitaalam jengo lefu ghorofa mfumo wake ni ( indirect system) kikanuni maji yatatoka chini kwenda juu kwenye tank then yasambae ndani kwa hiyo pressure ina kuwa ya uhakika ata installation yake ina kuwa lahisi.. Ukitumia mfumo wa (direct system ) pressure itakuwa sio ya uhakika baadhi sehemu maji yana weza yasifike..Kwa upande wa heater hiwe ya solar au umeme ina weza kutumika moja kwanini? Maji moto yatatoka juu kusambaa kwa kushuka ndani na kwa pressure nzuri na uwekaji wa installation zake pia sio mgumu kwanini watu wa ulaya wanapenda solar heater labda kwa sababu za kimazingira na uendeshaji wake ni gharama ndogo sana...Asante kwa maelezo yako plumber hydrogen , naomba kujua kwa hotels na nyumba kubwa, wana shauri sana kutumia Solar heater, tena kwa baadhi ya nchi ni kama sera kabisa hotels zitumie solar heaters, wanafanyaje ili kutopata changamoto ya pressure ya maji moto na utinduaji wa ukuta?
Asante kiongozi, Ubarikiwe.Kwanza mkuu kuna heater na boiler...Boiler ni mfumo ambao unatumiaka katika tasisi au sehemu zenye watu wengi mfano hospital hotelini mashuleni n.k hizi water heater zina tumika sehemu zenye matumizi madogo japo kitaalamu nazo ni boiler kwa sabubu ndani zimetengenezwa kwa mfumo huo huo wa boiler... Tuje kitaalam jengo lefu ghorofa mfumo wake ni ( indirect system) kikanuni maji yatatoka chini kwenda juu kwenye tank then yasambae ndani kwa hiyo pressure ina kuwa ya uhakika ata installation yake ina kuwa lahisi.. Ukitumia mfumo wa (direct system ) pressure itakuwa sio ya uhakika baadhi sehemu maji yana weza yasifike..Kwa upande wa heater hiwe ya solar au umeme ina weza kutumika moja kwanini? Maji moto yatatoka juu kusambaa kwa kushuka ndani na kwa pressure nzuri na uwekaji wa installation zake pia sio mgumu kwanini watu wa ulaya wanapenda solar heater labda kwa sababu za kimazingira na uendeshaji wake ni gharama ndogo sana...
Pamoja mkuuAsante kiongozi, Ubarikiwe.
Huu uzi kwa sisi tunaoendelea kujenge yaani tunasmile kwa mbaaali, huku tukiwaza jinsi tutakavowabana koo wakina fundi Maiko.Kwanza mkuu kuna heater na boiler...Boiler ni mfumo ambao unatumiaka katika tasisi au sehemu zenye watu wengi mfano hospital hotelini mashuleni n.k hizi water heater zina tumika sehemu zenye matumizi madogo japo kitaalamu nazo ni boiler kwa sabubu ndani zimetengenezwa kwa mfumo huo huo wa boiler... Tuje kitaalam jengo lefu ghorofa mfumo wake ni ( indirect system) kikanuni maji yatatoka chini kwenda juu kwenye tank then yasambae ndani kwa hiyo pressure ina kuwa ya uhakika ata installation yake ina kuwa lahisi.. Ukitumia mfumo wa (direct system ) pressure itakuwa sio ya uhakika baadhi sehemu maji yana weza yasifike..Kwa upande wa heater hiwe ya solar au umeme ina weza kutumika moja kwanini? Maji moto yatatoka juu kusambaa kwa kushuka ndani na kwa pressure nzuri na uwekaji wa installation zake pia sio mgumu kwanini watu wa ulaya wanapenda solar heater labda kwa sababu za kimazingira na uendeshaji wake ni gharama ndogo sana...