Karibu tufanye countdown kuelekea Tarehe 1, January 2025.

Karibu tufanye countdown kuelekea Tarehe 1, January 2025.

Ayatul munafiq thalatha😂😀😃😃😃😃😃
Naona ulikuwa unaningoja kwa hamu, haya una mupya gani?? 😹😹
Pilau ushaivisha nije kula??

Mara umeniignore hunioni ila kivuli changu kikifika na wewe huyo, we itakuwa unaniotaga usiku unaweweseka nakukaba 🤣🤣🤣
 
Fellas muwe na mwaka mpya mwema. 2025 usivumilie ujinga, throw them out!
 
Dah kwa mimi binafsi maisha nimeamua kuyapa thamani ya furaha , japo kuna changamoto ila nimeamua pia kuziweka kama nafasi ya kujifunza tu ,hivyo mda wote nafurah tu, na nina penda kila mtu bila kujali anachokiwaza, japo humu watu wanaotumia hisia ya mihemko na hasira nawachukulia akili ndogo , japo pia wanaweza wasiwe hivyo, ila kwangu mimi nimeona niwachukulie hivyo tu 🤔🤔
Tusamehe sana mkuu min -me, sisi akili ndogo tumekuelewa🤣🤣

Happy new year mtani, mangi, bwashee🤣🤣
 
Back
Top Bottom