Cecil J
JF-Expert Member
- Oct 12, 2023
- 434
- 1,024
- Thread starter
- #281
Mwaka mpya umeanza na mambo mapya, wajuzi wa mambo wanauita huu mfukuto wa MBUYU kama move ya washindani kudidimiza na kuukata mbuyu.Hawa wanafunzi wa BAO BAO wamefanya nn tena😂
Zile picha na video baadhi zinadaiwa kuwa za kale kidogo, kwani video hizo hizo zilitumika kuichafua shule f' lani ya jijini Mbeya.