Cecil J JF-Expert Member Joined Oct 12, 2023 Posts 434 Reaction score 1,024 Jan 2, 2025 Thread starter #281 Waterbender said: Hawa wanafunzi wa BAO BAO wamefanya nn tena😂 Click to expand... Mwaka mpya umeanza na mambo mapya, wajuzi wa mambo wanauita huu mfukuto wa MBUYU kama move ya washindani kudidimiza na kuukata mbuyu. Zile picha na video baadhi zinadaiwa kuwa za kale kidogo, kwani video hizo hizo zilitumika kuichafua shule f' lani ya jijini Mbeya.
Waterbender said: Hawa wanafunzi wa BAO BAO wamefanya nn tena😂 Click to expand... Mwaka mpya umeanza na mambo mapya, wajuzi wa mambo wanauita huu mfukuto wa MBUYU kama move ya washindani kudidimiza na kuukata mbuyu. Zile picha na video baadhi zinadaiwa kuwa za kale kidogo, kwani video hizo hizo zilitumika kuichafua shule f' lani ya jijini Mbeya.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Jan 2, 2025 #282 ERoni said: Mbona umeandika vizuri tu mangi!🤣 Click to expand... 😁😁😁 ila kipombe pombe nimelala nikaamka na mimi kusoma nikashangaa
ERoni said: Mbona umeandika vizuri tu mangi!🤣 Click to expand... 😁😁😁 ila kipombe pombe nimelala nikaamka na mimi kusoma nikashangaa