Karibu tufanye countdown kuelekea Tarehe 1, January 2025.

Ndio mkuu, mnaanza 2025 kwa amani...
Na mie nialike mkuu...
 
We takataka huna nyumba ya kunikaribisha mimi 😹😹
Unajua wewe kuna muda nakuonea huruma nataka nikuache ila nikiona ushangandimbwa wako nashindwa kukuvumilia utaharibika.!!

Wapi nililia? Kumwambia Max anitolee ban ndo kulia? Hizi tabia za machogo acha lasivyo ntaanza kutumia fimbo..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…