Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
View: https://youtu.be/ekr2nIex040?si=B2eLZd9VFYE_O7uB
Happy new year winga teleza huna baya mwanetu 😀 😃 😃
Sema ngoja nikuache ila nikiona hujaacha tutabia za machogo nitakuwa nakuweka sawa…. Na tabia ya kucheza na wadada kusogoa uache 😹😹😹
Mwenzio Agrey alicheka na sepenga akamuuza kilichotokea si umekiona??