Karibu tufanye countdown kuelekea Tarehe 1, January 2025.

Karibu tufanye countdown kuelekea Tarehe 1, January 2025.

Happy new year winga teleza huna baya ishi sana mwanetu ukikosa mtaji pm yangu Iko wazi nitakupa mtaji
20241225_172116.jpg
 
Jamaani au ni kwangu tu mbona jf imekuwa slow sana kufunguka??!!!,mi naenda kulala,mola ajalie niamke vyema.asanteni wana jf.
 
Humu hakuna bloku Kuna ignore list sijui unanielewa mwanangu wewe nimekuweka ignore list na id zako zote mbili πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜ƒ πŸ˜€
 
Jamaani au ni kwangu tu mbona jf imekuwa slow sana kufunguka??!!!,mi naenda kulala,mola ajalie niamke vyema.asanteni wana jf.
 
Back
Top Bottom