Karibu tufanye countdown kuelekea Tarehe 1, January 2025.

Karibu tufanye countdown kuelekea Tarehe 1, January 2025.

Kama kaishiwa bando aseme aje pm yangu ipo wazi nimpe bando au kaenda kukopa bando 😃😀😀😀
 
Usi
Dah kwa mimi binafsi maisha nimeamua kuyapa thamani ya furaha , japo kuna changamoto ila nimeamua pia kuziweka kama nafasi ya kujifunza tu ,hivyo mda wote nafurah tu, na nina penda kila mtu bila kujali anachokiwaza, japo humu watu wanaotumia hisia ya mihemko na hasira nawachukulia akili ndogo , japo pia wanaweza wasiwe hivyo, ila kwangu mimi nimeona niwachukulie hivyo tu 🤔🤔
Usiwe na hasira mwaka mpya,nakuomba tafadhali,utabarikiwa sana.
.
 
Back
Top Bottom