Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Nafaka ipi? Na vipi kuhusu soko? Na nikifika nauza mzigo wote kwa pamoja ama nauza kwa mtindo wa reja reja? Maswali ni mengi sana jibu kwanza hayo ikiwezekana nije huko wiki hii.
Ukiwa na mtaji kuanzia 828k unaweza ukaanza na magunia kumi.. hiyo nimekupigia na gharama zote za kuchukua mzigo kijijini,mifuko usafiri pamoja na ushuru...