Ukiwa na mtaji kuanzia 828k unaweza ukaanza na magunia kumi.. hiyo nimekupigia na gharama zote za kuchukua mzigo kijijini,mifuko usafiri pamoja na ushuru...
Nicheki pm bossKwa wanaotaka kufanya biashara ya mazao waje Songea
Sawa nakuja mkuuNicheki pm boss
Mimi binafsi niko nauza mahindi na maharage japo nimestop kidogo siku mbili hizi naona bei sio rafiki sana... ila kwa msimu wa mavuno kuanzia mwezi wa nne hadi mwezi wa 10 mwaka huu kijijini nilikua nachukua mahindi kwa tsh 500@kg ambayo kwa gunia la kg120 ilikua ni tsh60000,ukiweka na usafiri, watu wa kupakia na kushusha kwenye gari,vifungashio pamoja na ushuru ilikua inakuja almost tsh82800 kwa kila gunia, na mjini nauza kwa bei ya tsh800@kg maanake 96000 kwa kila gunia..maanake kwa kila gunia nilikua napata faida tsh13200... kuhusu soko halina shida kwasababu ikitokea kijijini bei imepanda na mjini inapanda na ikitokea imeshuka basi inashuka kote... cha kuzingatia unatakiwa tu uwe na madalali kote mjini na kijijini ili ukifika na mzigo unauza chap na kugeuza, na kijijini ni hivyohivyo ukipakia tu mzigo dalali aanze kukukusanyia mzigo mwingine... ukiwa makini unaweza ukaenda hata trip tatu kwa wiki na faida yake ni nzuri mno... karibu [emoji120][emoji120]
Mkuu safi sana.Mimi binafsi niko nauza mahindi na maharage japo nimestop kidogo siku mbili hizi naona bei sio rafiki sana... ila kwa msimu wa mavuno kuanzia mwezi wa nne hadi mwezi wa 10 mwaka huu kijijini nilikua nachukua mahindi kwa tsh 500@kg ambayo kwa gunia la kg120 ilikua ni tsh60000,ukiweka na usafiri, watu wa kupakia na kushusha kwenye gari,vifungashio pamoja na ushuru ilikua inakuja almost tsh82800 kwa kila gunia, na mjini nauza kwa bei ya tsh800@kg maanake 96000 kwa kila gunia..maanake kwa kila gunia nilikua napata faida tsh13200... kuhusu soko halina shida kwasababu ikitokea kijijini bei imepanda na mjini inapanda na ikitokea imeshuka basi inashuka kote... cha kuzingatia unatakiwa tu uwe na madalali kote mjini na kijijini ili ukifika na mzigo unauza chap na kugeuza, na kijijini ni hivyohivyo ukipakia tu mzigo dalali aanze kukukusanyia mzigo mwingine... ukiwa makini unaweza ukaenda hata trip tatu kwa wiki na faida yake ni nzuri mno... karibu [emoji120][emoji120]
KaribuMkuu safi sana.
Unaweza nicheck PM, Tuongee kidogo.
Safi Sana, nasikia songea mahindi ni mengi??Ukiwa na mtaji kuanzia 828k unaweza ukaanza na magunia kumi.. hiyo nimekupigia na gharama zote za kuchukua mzigo kijijini,mifuko usafiri pamoja na ushuru...
Yeah ni mengi sana hasa msimu wa mavunoSafi Sana, nasikia songea mahindi ni mengi??