Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Habari zenu,
Mungu aliyetupa utashi na fikra kama viambata vya maarifa ni wa pekee sana, nafurahi ya kwamba kizazi cha sasa cha Tanganyika ya sasa kinauelewa wa haraka sana kwenye mambo msingi hasa yenye uhitaji wa logic na reasoning.
Ni Mungu huyu huyu ambae ameniwezesha kuona na kushuhudia vijana wenye hasira na kuchukizwa na mabaya hasa katika nyanja ya uongozi na siasa, utetezi na ulinzi wa rasilimali jumuishi za kitaifa.
Hivyo niwaombe vijana na watu wote wa Taifa hili teule la Mungu aliye wakweli siku zote ni mmoja na mgawanyo wa Manabii na Mitume katu isije kuwa chachu ya migawanyiko hasi usiompendeza Mungu wetu mwenye rehema nyingi sana.
Watu wa Taifa Taifa hili hamna budi kulinda, kupenda taifa na watu wake wote kwa maana sisi wote ni wa Mungu mmoja.
Mungu aitwaye Mungu ni mmoja na atabaki kuwa ni mmoja hivyo hata Taifa hili la Tanganyika litabaki kuwa moja.
Tupende, tulinde taifa letu kwa Umoja amani, mshikamano, udugu na utu.
Katika Mungu wetu aliye hai nyakati zote na ikawe heri na amani katika kupokea ujumbe huu.
Shukrani 🙏🙏🙏
Inshallah
Wadiz