FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
Nashukuru kwa ufafanuzi mzuri.Ni option ipi nzuri mbadala wa hyo kwa europian cars?Kimsingi, Volkswagen Touareg Reliability rating yake ni 3.0 kati ya 5.0. kitu ambacho kinai-rank 25th kati 26 kwenye midsize SUVs.
Na average annual repair cost huwa inakwenda hadi 2,249,000/=
Hii inamaana kwamba ina poor ownership costs.
Repairs ni za mara kwa mara , kwahiyo unaweza ku- experience a few visits kwa fundi wako than normal.
That's what i can say!
Lakini wapo wataalamu wengine humu, wanaweza kuja na kutoa ushauri kitaalamu zaidi.
Ahsante
Kipekee nikushukuru, na karibu sana sana mzee !Sikujua hili la negotiation kama lipo , nisamehe bure , huko mbele ninaweza kuwa mteja wako japo naishi Dar na ofisi yako ipo Mbeya ., kuna elements fulani umezieka kwenye biashara yako zinanivutia somehow , installments!!!
Tupo pamoja
Ni sh ngapi?Ndio mzee wangu, inapatikana!
Ukiagiza wewe binafsi,Tofauti gani ya kigarama atapata mteja aliyeagiza kwa mtandao moja kwa moja yeye binafsi au kupitia kwenu mawakala?
Mkuu kweli una over price. Rumion kwa Bongo showroom ni 14mil, Tena ambayo haijatumika Bongo (imported).2008 Toyota Corolla Rumion
1,790 CC
74,568 KM
Unaweza kuagiza kwa Gharama kamili ya kuanzia TZS 16,110,000/=
malipo ya awali
TZS 8,500,000/=
Gari yako inaanza Safari.
2008 Toyota Corolla Rumion
1,790 CC
74,568 KM
Unaweza kuagiza kwa Gharama kamili ya kuanzia TZS 16,110,000/=
malipo ya awali
TZS 8,500,000/=
Gari yako inaanza Safari.
EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
CALLS , TEXTS & WHATSAPP
+255 682 274 097
View attachment 1829809
View attachment 1829810
View attachment 1829811
View attachment 1829812
View attachment 1829813
View attachment 1829814
View attachment 1829815
View attachment 1829816
Kama ninayo hela full, total cost ya nikiagiza Mwenyewe v/s total cost ya ukiniagizia Wewe tofauti yake ikoje?Ukiagiza wewe binafsi,
Utapaswa kulipia 100%
Lakini mfano ukiagiza kupitia sisi, unapata kulipa kwa awamu tatu
Hii inamaana kwamba, tunakusaidia kulipa gharama zingine kisha unazitejesha kwa muda tutakao kubaliana kisheria
Karibu sana.
EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
CALLS , TEXTS & WHATSAPP
+255 682 274 097