FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
Nashukuru kwa ufafanuzi mzuri.Ni option ipi nzuri mbadala wa hyo kwa europian cars?Kimsingi, Volkswagen Touareg Reliability rating yake ni 3.0 kati ya 5.0. kitu ambacho kinai-rank 25th kati 26 kwenye midsize SUVs.
Na average annual repair cost huwa inakwenda hadi 2,249,000/=
Hii inamaana kwamba ina poor ownership costs.
Repairs ni za mara kwa mara , kwahiyo unaweza ku- experience a few visits kwa fundi wako than normal.
That's what i can say!
Lakini wapo wataalamu wengine humu, wanaweza kuja na kutoa ushauri kitaalamu zaidi.
Ahsante