Karibu umalizie nyumba kwa mkataba kisha uhamie. Nahama kikazi

Karibu umalizie nyumba kwa mkataba kisha uhamie. Nahama kikazi

Acha kabisa.
Hii imewafanya watu vibaya.
Malizia mwenyewe na upangishe lakini sio wakusaidie ukenzi.
Sawa sawa mpwa.
Yaani mnanifungua vingi ambavyo nilikuwa sivifahamu.
Dah!!
Asanteni sana jamani
 
Madame B, bora upewe elfu 30 kwa mwezi ununulie luku Mbeya kuwashia heater 😂, watu wakukaa wapo wengi tu tafuta taratibu. Usiuze wala kugawana ujenzi,

Au hutaki upate sababu ya kuja Dom kumcheki mpangaji 😂
Bakiza mjengo Ndachi wa Kustaafia 😂
 
Naomba nifafanulie vyema.
Naweza badili nia.

Kiraka?🤔
Shida yako ww si unataka kusikia wenye bluetick wenzako tu, na watu tunakufahamu tangu huna hiyo bluetick. Na watu dodoma hapo tumepelekwa na tumetoka tumeacha viota kadhaa.
Piga hesabu ya hiyo nyumba watu watanunua tu kama unauza. Na hata wakuingia hvo wapo kibao. Unavyotaka ww.
Wewe useme unahitaji maelekezo gani tukupe yote. Tuliyonayo
 
Ndio ya dunia yalivyo madame, usiogope ila ni vyema sana kuishi kwa tahadhari, umefanya vyema sana kushirikisha wadau imekua faida kwako kujua kitu kipya.
Kabisa, kabisa, kabisa.
Yaani nimepata nondo nyingi sana.
Mbarikiwe mno jamani.
Dunia ina kila aina ya watu.
Asanteni sana wadau wenzangu 🙏🙏🙏
 
Madame B, bora upewe elfu 30 kwa mwezi ununulie luku Mbeya kuwashia heater 😂, watu wakukaa wapo wengi tu tafuta taratibu. Usiuze wala kugawana ujenzi,

Au hutaki upate sababu ya kuja Dom kumcheki mpangaji 😂
Bakiza mjengo Ndachi wa Kustaafia 😂
Dah😅 ya kuwashia heater,yaonekana kuna baridi si mchezo.
Mie nataka nikienda niende moja kwa mbili.
Sijaacha chochote au?
 
Back
Top Bottom