Karibu umalizie nyumba kwa mkataba kisha uhamie. Nahama kikazi

Karibu umalizie nyumba kwa mkataba kisha uhamie. Nahama kikazi

Kwa dom usiuze we imalizie taratibu kuliko kutaka kufanya hivyo ulivyopanga kufanya. Ndachi kuna uhuni mwingi sana kwenye maeneo na nyumba.

Nia yako ni nzuri sana kusaidia ila kupitia hilo wabaya nao wanaona ni fursa. Kuna mzee alisahaulishwa nyumba yake kwa zaidi ya miaka 25 mpaka yule alivyofanya hivyo alivyokufa.
Aisee.
Hiyo ya kusahaulishwa ndio naisikia leo.
Kwahiyo nakua napasahau kabisa au nakuaa nakumbuka ila naingiwa na uvivu wa kwenda site?
 
Hapo wengi wamelia.
Mimi siwezi fanya ujinga huo, bora likae boma.
Wamiliki wamegeuzwa watumwa kwenye mali zao. Kila siku mahakamani.
Na wengine wanaishia kuokota makopo.
Umekuwa muungwana na Mzalendo. Ubarikiwe sana. Huyo utakayemkabidhi nyumba hakikisha mnaandikishiana kwa mwanasheria na serikali ya mtaa ili wema wako; usikuponze. All the best
 
Kama haifiki kwanini usitoe bei wewe nyumba ipo finishing hiyo.
1.Madirisha ya aliminium @250,000 yapo mangapi?
2. Plasta ndani na nje wallputy @21000 nyumba kama hiyo inahitaji zaidi ya mifuko 20

3. Mlango wa mbele na wa nyuma mlango 350,000

4. Kama ataweka gypsum sawa. Gypsum board hazipungui 20. Moja 15,000
Mikanda si chini ya bunda 6 za 10 1
Gypsum powder
Ufundi 400,000
Binder ndoo 2
Tape si chini 2 moja 1500


5. Kuingiza nyaya za umeme kwenye switch.
Switch si least 10.
Dp 4 @15,000
Light switch 5
Ufundi least 100,000

Plasta ina mifuko ya cement almost 40 each 16,000
Mchanga fuso.
Wallputy mifuko 40 ndani na nje
Rangi ndoo 6 each 150,000
Ufundi 1ml

Tiles ndio uwiiiiii.
Haya leta hesabu zako
Asante, nashukuru pia kwa ushauri
 
Anachotakiwa Kufanya Kwasasa Aache Nyumba Ilivyo
Atengeneze Chumba Kimoja Mlango Atafute Mtu Akae Bure Amwangalizie


Jenga Uza, Wapo Dodoma Pia Ni Wasumbufu Mkifika Court Watakupotezea Muda Bure
Upo sahihi mkuu ushauri wako ni mzuri, afanye hivyo. Na wengi wanaofanya huo uhuni kwa mjini ni matajiri wenye pesa hata kushindana nao kwenye hizi mahakama zetu ni kupoteza muda.
 
Back
Top Bottom