Karibu umalizie nyumba kwa mkataba kisha uhamie. Nahama kikazi

Karibu umalizie nyumba kwa mkataba kisha uhamie. Nahama kikazi

Roho mbaya na upuuzi mwingi haukujengi fala wewe. Dada anajulikana na yuko verified na taarifa zake uongozi wa Jamiiforums unazifahamu.

Endelea hivyo hivyo na ikiwezekana jifunze na uchawi fala wewe
Asante sana mkuu Manyanza kwa kunisaidia.
Wakatisha tamaa wapo wengi tu humu.
Cha msingi ni kuacha kuwajibu ili tuone watafaidika na nini.
Asante sana kaka kwa kunisaidia
 
Madame B Fuata ushauri huu

Asante sana.
Nilikuwa na wazo la kuuza ila nikawaza kuwa nikihamia Mbeya pia nako nikijenga nitauza tena?
Pia hii njia inaweza kuwa msaada kwa wengine pia
Kwa dom usiuze we imalizie taratibu kuliko kutaka kufanya hivyo ulivyopanga kufanya. Ndachi kuna uhuni mwingi sana kwenye maeneo na nyumba.

Nia yako ni nzuri sana kusaidia ila kupitia hilo wabaya nao wanaona ni fursa. Kuna mzee alisahaulishwa nyumba yake kwa zaidi ya miaka 25 mpaka yule alivyofanya hivyo alivyokufa.
 
Maoni yangu;
Hii nyumba bado inahitajika fedha nyingi kuifanya iwe habitable kwa viwango vya kisasa. Mtu anayemiliki fedha za kutosha kufanya hiyo finishing kuitoa hapo ilipo, ni aghalabu kuwa na appetite ya kupanga nyumba ya size hiyo maeneo hayo achilia mbali kuweka pesa zake kukamilisha nyumba ya mtu mwingine.
Kwa walio na uzoefu, Gharama zilizobaki kuiweka sawa hiyo nyumba ni kubwa kuliko ulizokwishatumia hadi hatua uliyopo.

Ushauri;
1) Tafuta mpangaji wa bei rahisi atakayeridhika kukaa jinsi ilivyo hata akikulipa 30,000 pokea. Jikusanye umalizie nyumba kwa viwango unavyopendelea.
2) Uza.

By the way, si unalipwa uhamisho wewe? Utamaliza tu dada, nakuombea.
Aminaaa!
Na ikawe heri kwangu.

Nilitaka kujaribu hii njia kabla ya uamuzi wa kuiuza maana nilipata wazo la haraka baada ya kupewa uhamisho (si unajua haraka za uhamisho?)
Wapangaji wapo ila bado sikuwa na wazo hilo pia
Asante sana kwa wazo lako mkuu.
Nashukuru.
 
Kwa dom usiuze we imalizie taratibu kuliko kutaka kufanya hivyo ulivyopanga kufanya. Ndachi kuna uhuni mwingi sana kwenye maeneo na nyumba.

Nia yako ni nzuri sana kusaidia ila kupitia hilo wabaya nao wanaona ni fursa. Kuna mzee alisahaulishwa nyumba yake kwa zaidi ya miaka 25 mpaka yule alivyofanya hivyo alivyokufa.
Anachotakiwa Kufanya Kwasasa Aache Nyumba Ilivyo
Atengeneze Chumba Kimoja Mlango Atafute Mtu Akae Bure Amwangalizie


Jenga Uza, Wapo Dodoma Pia Ni Wasumbufu Mkifika Court Watakupotezea Muda Bure
 
Haifiki hiyo bei.
Acha jambo kama hujui
Kama haifiki kwanini usitoe bei wewe nyumba ipo finishing hiyo.
1.Madirisha ya aliminium @250,000 yapo mangapi?
2. Plasta ndani na nje wallputy @21000 nyumba kama hiyo inahitaji zaidi ya mifuko 20

3. Mlango wa mbele na wa nyuma mlango 350,000

4. Kama ataweka gypsum sawa. Gypsum board hazipungui 20. Moja 15,000
Mikanda si chini ya bunda 6 za 10 1
Gypsum powder
Ufundi 400,000
Binder ndoo 2
Tape si chini 2 moja 1500


5. Kuingiza nyaya za umeme kwenye switch.
Switch si least 10.
Dp 4 @15,000
Light switch 5
Ufundi least 100,000

Plasta ina mifuko ya cement almost 40 each 16,000
Mchanga fuso.
Wallputy mifuko 40 ndani na nje
Rangi ndoo 6 each 150,000
Ufundi 1ml

Tiles ndio uwiiiiii.
Haya leta hesabu zako
 
Back
Top Bottom