Karibu umalizie nyumba kwa mkataba kisha uhamie. Nahama kikazi

Karibu umalizie nyumba kwa mkataba kisha uhamie. Nahama kikazi

Lkn nadhani ongea na madalali wanaweza kukusaidia kirahisi sana.
Madalali wa Dodoma kwa ishu kama hizi wanasema huwa zinakuwa na sintofahamu ya mgawanyo maana wanasema wanataka robo bei ya mmaliziaji na mimi mmiliki.
Yaani wachukue kote kote.
 
Maoni yangu;
Hii nyumba bado inahitajika fedha nyingi kuifanya iwe habitable kwa viwango vya kisasa. Mtu anayemiliki fedha za kutosha kufanya hiyo finishing kuitoa hapo ilipo, ni aghalabu kuwa na appetite ya kupanga nyumba ya size hiyo maeneo hayo achilia mbali kuweka pesa zake kukamilisha nyumba ya mtu mwingine.
Kwa walio na uzoefu, Gharama zilizobaki kuiweka sawa hiyo nyumba ni kubwa kuliko ulizokwishatumia hadi hatua uliyopo.

Ushauri;
1) Tafuta mpangaji wa bei rahisi atakayeridhika kukaa jinsi ilivyo hata akikulipa 30,000 pokea. Jikusanye umalizie nyumba kwa viwango unavyopendelea.
2) Uza.

By the way, si unalipwa uhamisho wewe? Utamaliza tu dada, nakuombea.
 
Back
Top Bottom