Karibu umalizie nyumba kwa mkataba kisha uhamie. Nahama kikazi

Nakushauri tafuta mtu ailinde uimalizie mwenyewe au akupe fedha uimalizie akae na siyo aimalizie kuna watu siyo waaminifu ataimalizia kwa 10M ataongeza interest ya 10 M utadaiwa 20
Sawa Faana
Asante sana kwa maoni yako.
Ila mimi nahitaji amalizie mwenyewe kisha ndio tuje kupigiana mahesabu
 
Ushauri, usimuweke mmakonde utamwachia nyumba mazima.
 
Wao!
Sawa, na vp kuhusu ukarimu wa wenyeji? Na tamaduni zao?
Nisije peleka 'U-dodoma' wangu kule.
Na pia vipi kuhusu kumiliki silaha?
Ukarimu ni asili ya watu wa Mbeya Kwa miaka mingi, ila Wakazi wa Chunya hasa Wachimbaji huwa hawana kawaida ya kuachana mkishaanza dating

Yaani mnaweza kuachana, lakini akawa anakuwinda kujua unatembea na nani tena aje alianzishe

Ni kawaida kukupoteza(kuua) ukishakula hela yake halafu usimpe mzigo

Kuhusu kumiliki silaha, unaruhusiwa muhimu uimiliki kihalali

Kamati ya Usalama iwe na taarifa ya umiliki wako
 
Kha!
Sasa nimeachana nae ananiwindia nini?
Mbona kama naona pagumu?
Au niwe kauzu tu kwa wanaume?

Yap! Nahitaji kumiliki maana naambiwa huko Chunya kuna kuchomeana kisha unamalizwa.
Najua nitapata wenyeji wa kazi zangu.
Ila inaonekana watu wa huko mgodini si mchezo.
Natamani ningepata ABC's za mchezo mzima
 
Ni serious imenikuta
Yaani unajiandaa kabisa kwenda kwenye eneo
Unasahau kushtuka ni jion tayar
Mwaka wa nne sasa
Pole sana.
Kwani hukumshirikisha ndugu au rafiki wakati unajenga au kununua eneo ili awe anakukumbusha?
Yaani unakuwa hukumbuki kabisa au inakuwaje ila si unajua kuwa kuna mahala una eneo lako?
Pole sana kipenzi changu Hornet
 
Nenda ukaripoti, hayo mengine utaendelea kujifunza polepole

Jitahidi usile hela ya mchimbaji, ukila hakikisha mzigo unampa
 
Nenda ukaripoti, hayo mengine utaendelea kujifunza polepole

Jitahidi usile hela ya mchimbaji, ukila hakikisha mzigo unampa
Sawa mkuu.
Ngoja nikifika kule nitaleta mrejesho
 
Hadi kufikia hapo maumivu ya ujenzi ndo huwa yanaanza sasa, japo tayari umeshayaonja kwenye blundering, kupaua , na hizo frame za madirisha na milango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…