Demarcation
Senior Member
- Jan 21, 2014
- 178
- 248
Niliziona kwa TV,nazani zinatoka 🇨China!!Ndo zipoje hizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliziona kwa TV,nazani zinatoka 🇨China!!Ndo zipoje hizo?
Sawa FaanaNakushauri tafuta mtu ailinde uimalizie mwenyewe au akupe fedha uimalizie akae na siyo aimalizie kuna watu siyo waaminifu ataimalizia kwa 10M ataongeza interest ya 10 M utadaiwa 20
Ushauri, usimuweke mmakonde utamwachia nyumba mazima.Habari za mchana wadau wenzangu wa Jamii Forums.
Iko hivi,
Nilihamishwa Dodoma kikazi mwaka 2019.
Na sasa nimepata uhamisho wa kwenda jijini Mbeya.
Wakati naishi huku Dodoma, nilibahatika kujenga nyumba ila kutokana na majukumu kunizidia nikajikuta nashindwa kuimalizia vyema.
Sasa nakuja kwenu wana Dodoma mnisaidie kitu kama inawezekana.
Je, naweza pata mtu wa kupanga hio nyumba kwa makubaliano kuwa aimalizie finishing kisha ahamie?
Tupigiane mahesabu kuwa ametumia kiasi gani ili tukae chini tujue tunafanyaje?
Pia naweza kumuachia aendelee kukaa bure kama ataimalizia ili aendelee kuniangalizia.
......Hii ni kama Ofa......
Nyumba ina vyumba viwili vyote master, chumba kimoja cha master ni kikubwa (cha baba na mama),
Ina public toilet,
Ina jiko,
Ina stoo.
Ina sebule kubwa.
Nyumba nimeshaipaua tayari na ina vyoo ndani (master kubwa ina choo cha kukaa, public na master ingine ina vyoo vya kuchuchumaa) Vyote vipya.
Nimeshafanya hatua za awali za wiring bado kuingiza nyaya kwenye switch tu.
Nimeshafanya brandering kwa ajili ya gypsum
Karo la choo na chemba zake ziko tayari.
Ina madirisha ya grill na mageti mawili (la mbele na nyuma yenye vitasa vya funguo)
Na mbele ya nyumba kuna eneo kubwa tu limebaki kwa ajili ya ufugaji au kililo akitaka mpangaji.
Atakachomalizia yeye mpangaji.
1. Madirisha ya aliminium
2. Plasta ndani na nje
3. Mlango wa mbele na wa nyuma
4. Kama ataweka gypsum sawa.
5. Kuingiza nyaya za umeme kwenye switch.
Mahali nilikojenga ni Ndachi, hospitali mpya ya Jiji la Dodoma.
Kumejengeka na huduma zote muhimu za kijamii zipo.
Je, naweza pata mtu wa kufanya hivi hapa Dodoma?
Karibuni kwa ushauri, maoni au maswali.
Picha zinakuja hivi punde.
View attachment 3230426
View attachment 3230431
Ukarimu ni asili ya watu wa Mbeya Kwa miaka mingi, ila Wakazi wa Chunya hasa Wachimbaji huwa hawana kawaida ya kuachana mkishaanza datingWao!
Sawa, na vp kuhusu ukarimu wa wenyeji? Na tamaduni zao?
Nisije peleka 'U-dodoma' wangu kule.
Na pia vipi kuhusu kumiliki silaha?
Hii kuna mahali nimepigwa 😓Hii Nilikuwa Naiona Kitunda Kivule, Msongola Kwa Wamakonde
Mwenye Nyumba Anaingiwa Ganzi Mpaka @Anasahau
Inaitwa Surrat~Zubaa
Ni serious imenikutaNdio nimetoka kuambiwa hapa kuhusu huo uchawi wa kuachia eneo au mjengo wako.
Nimeogopa mno
Kha!Ukarimu ni asili ya watu wa Mbeya Kwa miaka mingi, ila Wakazi wa Chunya hasa Wachimbaji huwa hawana kawaida ya kuachana mkishaanza dating
Yaani mnaweza kuachana, lakini akawa anakuwinda kujua unatembea na nani tena aje alianzishe
Ni kawaida kukupoteza(kuua) ukishakula hela yake halafu usimpe mzigo
Kuhusu kumiliki silaha, unaruhusiwa muhimu uimiliki kihalali
Kamati ya Usalama iwe na taarifa ya umiliki wako
Pole sana.Ni serious imenikuta
Yaani unajiandaa kabisa kwenda kwenye eneo
Unasahau kushtuka ni jion tayar
Mwaka wa nne sasa
Napita tu 😄😄Ni serious imenikuta
Yaani unajiandaa kabisa kwenda kwenye eneo
Unasahau kushtuka ni jion tayar
Mwaka wa nne sasa
Nenda ukaripoti, hayo mengine utaendelea kujifunza polepoleKha!
Sasa nimeachana nae ananiwindia nini?
Mbona kama naona pagumu?
Au niwe kauzu tu kwa wanaume?
Yap! Nahitaji kumiliki maana naambiwa huko Chunya kuna kuchomeana kisha unamalizwa.
Najua nitapata wenyeji wa kazi zangu.
Ila inaonekana watu wa huko mgodini si mchezo.
Natamani ningepata ABC's za mchezo mzima
Kila la heri Mkuu 👏👏Sawa mkuu.
Ngoja nikifika kule nitaleta mrejesho