House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Bado mnatafuta NYUMBA/PLOT MWANZA?

  • 1.Ndio

    Votes: 5 83.3%
  • 2.Hapana

    Votes: 1 16.7%
  • 3.Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Kwanini usiuze kwa bei anayotaka mmilikia ukalipwa percent yako hadi upandishe bei hovyo hovyo

Hivi huoni kwamba unaweza kumcheleweshea mwenye mali yako kuuza pia unamuumiza mteja wako?

 
Buhongwa chumba self na sebure kubwa, public toilet ndani ya geti,karibu na barabara bei isizidi 50. Kama vipo weka picha mkuu
 
Haka hakapo ndani ya fensi? Na vipi kashatembea?
 
Anapokea miezi mingapi? Mitatu anakubali?

Kuna gharama ada yoyote ambayo inabidi nikulipe tofauti na kodi? Kama ipo ni kiasi gani.
Miezi sita Mkuu,Utalipa kodi ya mwezi mmoja kwa dalali Na Ten ya kupelekwa kuiona baada ya kulizishwa nayo ktk picha
 
Maduka 9
Nina Chumba, Sebure,jiko Nyumba Mpya nzuri sana haina Fensi bei lk 1 picha zinakuja umbali dakika 10 kutoka barabarani kwa miguu

0767-241001whatsup
Tuambie unataka wapi Nyumba sisi kazi yetu n kukutafutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…