Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
ISAMILO(Jrn Balozi Dr.Migiro)
Nyumba inauzwa
Mil 75
Vyumba vinne vyakulala
Master room zote
Fensi kubwa
Security camera
Mwenyewe yupo America
Njoo na MWANASHERIA WAKO
0767241001
0620690670
NB
Taja Nyumba unayotaka sisi tutakupa kulingana na vigezo vyako, zipo za kila namna kukaa na mwenye Nyumba mkolofi umejitakia mwenyewe kwanini usihame!!!!
View attachment 1119465View attachment 1119466View attachment 1119468
Tuma vizuri hii,hasa hapo kwenye geti.Kusisumbuke mwenye Nyumba MstaafuView attachment 1113191View attachment 1113192View attachment 1113193
Hiyo #1 hapo getiniKusisumbuke mwenye Nyumba MstaafuView attachment 1113191View attachment 1113192View attachment 1113193
Check pg no.10 taarifa zipo humu toka asubuhiHiyo #1 hapo getini
Unatakiwa kuanzisha Uzi wako usiwachukie Pepsi kuzalisha soda kubwa wkt unaweza pia kuzalisha soda kubwa zaidi yao.
Hapa n Biashara ya vitu vinanvyo onekana NJOO MJN HAPA UTAONYWESHWA (very simple) 0767-241001/0620-690670
Ile picha sio halisi, ni mchoro(3D drawing) ila inavyoonekana hata yeye hajui hilo!Kweli dalali ni dalali tuu nazidi amini utakuwa na mapungufu ya uelewa ..umeulizwa mbona hamna picha halisi unasema pepsi kawa mkubwa
Rubbish
Ile picha sio halisi, ni mchoro(3D drawing) ila inavyoonekana hata yeye hajui hilo!
Huyo ni dalali kilaza, kuna nyumba moja nimeona kachukua zile za chamaINi changamoto sana mtu anaweza ingia wasi wasi kufanya biashara nae
Najaribu kutafakari hii nyumba iko upande gani jirani na Dr Migiro.ISAMILO(Jrn Balozi Dr.Migiro)
Nyumba inauzwa
Mil 75
Vyumba vinne vyakulala
Master room zote
Fensi kubwa
Security camera
Mwenyewe yupo America
Njoo na MWANASHERIA WAKO
0767241001
0620690670
NB
Taja Nyumba unayotaka sisi tutakupa kulingana na vigezo vyako, zipo za kila namna kukaa na mwenye Nyumba mkolofi umejitakia mwenyewe kwanini usihame!!!!
View attachment 1119465View attachment 1119466View attachment 1119468
Kweli dalali ni dalali tuu nazidi amini utakuwa na mapungufu ya uelewa ..umeulizwa mbona hamna picha halisi unasema pepsi kawa mkubwa
Rubbish
Tumia 0767-241001Namba zako zkte hazipo whatsap dalali vp??