House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Bado mnatafuta NYUMBA/PLOT MWANZA?

  • 1.Ndio

    Votes: 5 83.3%
  • 2.Hapana

    Votes: 1 16.7%
  • 3.Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Buhongwa
Vyumba 3
Sebule
Sitting room
Umeme/maji yapo
Sehemu ya kulia chakula
Inauzwa mil 55/
Inapangishwa mil 3
(atakae wahi KT ya mnunuaji au mpanga)
Eneo n tambalale
Dakika tano toka Buhongwa stand kwa MIGUU
0767241001/0620690670

NB
Taja Nyumba ya uwezo wako
Zipo hadi za mil 15 nk . ww unahamia tu
 
Buhongwa
Vyumba 3
Maji/umeme vipo
Sitting room
Imekamilika
Haina Fensi
Mil 30
Dakika 3 toka stand Buhongwa
(Unaweza kuja na mwanasheria wako wakati Wa kulipia)
Eneo n kubwa unaweza kulitumia kwa matumizi mengine
NB
Nyumba zote tunazo uza maeneo yake yamepimwa
076724-241001/0620690670

NB:-
Mnaotaka Nyumba za Kupanga
Semeni sifa zake, bajeti yenu utatumiwa what's up ukilizika unakuja kuona BURE (HAKUNA SABABU YA KUZUNGUKA WAKATI HUNA PRELIMINARY INFORMATION)
 
Nafurahi sana nnavyofanya kazi yangu kwa AMANI ktk huu MTANDAO WA JF,
Wateja wangu 60% WANAWAKE nyingine 40% n wanaume
LKN KUNA VITU NIMEJIFUNZA VIKUBWA SANA kwa wateja, watu wanamahitaji makubwa sana ya NYUMBA AU ARDHI WALLAH NA HAWATAKI USUMBUFU WA MAFUNDI, watoa huduma n wachache sana (SIJUI LABDA N SHULE, MM NA kadegree kangu kakufugia NYUKI NAWAFUNDISHA TU NAMNA YA KUFUGA NYUKI), TATIZO HAWAPATI TAARIFA SAHIHI NA KWA WAKATI
Kuna watu wanazopesa nyingi wanahitaji VIWANJA,NYUMBA lkn hawana MUDA WA KWENDA KUZUNGUSHWA NA MADALALI WAO WANATAKA PICHA TU WHAT'S UP, WATATUMA MTU WAO (MWANASHERIA/MTU WA ARDHI) KUTHIBITISHA TU KWELI NILICHOKIONA
WHAT'S UP NDIO SAHIHI, THEN WANALIPA bila usumbufu wowote MUNGU WABARIKI SANA WATEJA WANGU kiukweli mnanitia moyo wakufanya kazi kwa bidii

NB:- 1
Natamani nifungue KAMPUNI KUBWA HII BIASHARA YANGU IWE YA TAIFA nifundishe watu wengi labda n WAAJIRI

NB:-2
Kesho ntaeleza vizuri sana VITU nnavyokutana navyo kuhusu Wapangaji NA changamoto zao

0767241001
0620690670
Nipo kwa ajiri yenu ww kazi yako n kuweka vigezo Vya Nyumba/Kiwanja unachotaka,sehemu sisi kazi yetu n kukutafutia kulingana NA vigezo vyako NA kukutumia what's up KRBN SANA WAPENDWA
 
Kesho kunaSUPRISE KUBWA, kunasiku niliwaletea Nyumba ya 90elfu kwa mwenzi NA ukipanga UNAPEWA KILIKUUU, TEN KILA SIKU MJIANDAE KESHO NTALETA KITU HICHO KILA MTU ATABAKI MDOMO WAZI KWELI AU UONGO !!! GTY
 
Nyangomango hako keupe
Vyumba Viwili
sebure
Eneo KUBWA kabisa
Maji/umeme vinakalibia kufika(Rea 27,000/=)


Bulare hiyo yenye Bati za Msauzi
BULALE
Vyumba 3
Sitting room
Haijaisha
Eneo KUBWA
Mil 15
0767-241001
0620690670

NB
Taja Nyumba ya uwezo wako,mahali sisi kazi yetu kukutafutia kulingana NA sifa zako
Vyumba Vya kupanga au kuishi vipo KILA KONA Mwanza
 
Kila Moja ni Mil15 katika hizo mbili
 
Buhongwa
Olympics sheli
Vyumba 2
Sebule kubwa
Jiko lipo nje
Ndani ya fensi kubwa
Choo ndani kwa ndani
Dakika 1 barabara kuu
Mil 2 kama utalipa kwa mwaka
Kama n miezi 6 ni m 2.5/2
0767241001
0620690670

 
Suprise!!!!
Ninakanyumba kaa ajabu
Vyumba Viwili
Sebelu kimoja master
Kako kwenye Mawe
Hakajaisha vizuri,
MTU anaishi na Mke wake
Maji yapo
Umeme umekatiza hapohapo
Nasema hakuna umeme(ingawa umekatiza hapo)
kufika barabara kuu dakika 5
Kwa miguu
Buhongwa Olympic
Kiwanja 20*25 kina BIKONI
Bei Mil 6 haishuki hata mia
Hapa unakaa wkt umechoshwa na kero za wenye NYUMBA
 
Mkuu mm nahitaji kiwanja maeneo ya mahina kati. Bajeti yangu ni 5m .
Alafu pia nahitaji nyumba ta kupanga maeneo hayo ya mahina
 
Mkuu mm nahitaji kiwanja maeneo ya mahina kati. Bajeti yangu ni 5m .
Alafu pia nahitaji nyumba ta kupanga maeneo hayo ya mahina
Sawa Mkuu, njoo what's up
0767241001 viwanja ninavyovingi sana huko Mahina kati, kuhusu nyumba unataka LINI MKUU? na yenye sifa gn?
Karibu sana
 
Buhongwa
Vyumba 3
Sitting room
Pamepimwa
Maji yapo umeme bado
Mil 32
Dk 10 toka Buhongwa stendi
0767241001/0620690670

NB
Wewe tuambia sifa za Nyumba yako ya kupanga au kununua,kiwanja kiwe wapi, Bajeti yako sisi kazi yetu nikukutafutia kulingana na MAHITAJI YAKO ( tunazo nyumba na viwanja Vya bei zote)

 
Igoma
Kanyumba kazuri kakupanga
Vyumba 2
Sebule
Ndani ya fensi
Mwezi lk 170 x 6
Uje umejipanga vizuri
0767-241001
0620-690670
Karibuni sana

Changamoto +
Unamuonyesha Nyumba nzr, analizika vzr, analudi kulipia baada labda ya siku 2 au zaidi bahati mbaya/nzr anakuta tumisha Fanya Biashara.
MTU akiwa amejipanga vzr inapunguza sana MALALAMIKO
Mungu awabariki sana
 
#Majibu#ya#jumla#ya# maswali#niliyokutana# #NAYO#sana#kutoka#kwa#
#wateja#

Mambo ambayo #HATUFANYI#

Hatupangishi Nyumba za NHC(Shirika LA Nyumba LA Taifa) nenda Tamesa mwenyewe

Hatuuzi/kupangisha Nyumba zenye migogoro au zinadaiwa na Benk
(Kazi hiyo tumewaachia court brokers)

Hatuuzi/Hatupangishi Nyumba zenye migogoro ya kifamilia mfn Mme anataka kuuza bila mkewe kujua au Nyumba za ulithi

Hatuuzi/Hatupangishi
Nyumba ambazo zina
Mauzamauza usiku mfn popobawa,vibwengo,wachawi

Hutuuzi/kupangisha viwanja ya wazi

Kabla ya kulipia kiwanja tunamshauri Mteja aenda akaangalie mwenyewe RAMANI YA JIJI AU HALIMASHAURI (anabeba bikoni no) au aje na mtaalamu Wa Ardhi anayemuamini

Asanteni sana KWA Support yenu WATEJA mungu azidi kuwapa PESA nyingi HALARI ili tuzidi kufanya BIASHARA
Karibuni
0767241001
 
Nyegezi
Chumba Sebure
Choo cha ndani
Bei kila mwenzi lk 1x6
07627-241001
0620-690670
Karibuni sana

NB
Sema sifa za Nyumba unayotaka sisi tutakupatia popote kulingana na Namahitaji yako na bajeti yako

 
Nyegezi
Vyumba 2
Ndani ya fensi
Sebule kubwa
Miezi 6
Bei mil 1.4
0767-241001
0620-690670
 
Karifonia - Nyegezi
Jirani Na msukuma apartment
Chumba Na Sebure
Umeme ten kwa mwenzi
Maji mnashare
Mpangaji awe bachera mwanaume/ mwanamke mwenyemume
IPO ndani ya Fensi
0767-241001
0620-690670

NB
Masharti ya baadhi ya wamiliki wa nyumba binafsi yananikera sana sijui nani anawaruhusu ujinga huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…