BwanaMiti
Member
- Jul 4, 2014
- 92
- 87
Aksantee Mkuu!!! Mwezi September nitahitaji naomba uanze kunitaftia ntakuchek kwa namba zako!!!Lk 1.5 hadi lk 2 Mkuu Umeme Na maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aksantee Mkuu!!! Mwezi September nitahitaji naomba uanze kunitaftia ntakuchek kwa namba zako!!!Lk 1.5 hadi lk 2 Mkuu Umeme Na maji
OK karibu mkuuAksantee Mkuu!!! Mwezi September nitahitaji naomba uanze kunitaftia ntakuchek kwa namba zako!!!
Hivi Nyumba ya mil tatu inakuwa ya kuishi inakuwaje Mkuu???Kishiri
Mtaa Wa uhishi
Eneo 40*30
Vyumba vitatu
Sebure
Dinning
Upimaji shirikishi
Nyumba Mpya haijaisha
Bei mil 11
Miundo mbinu yote IPO maji na umeme
Njoo uimalizie uhamie
0767-241001whatsup
NB
Tunazonyumba za kupanga kuanzia elfu 40 hadi mil 10
Tunavyoviwanja
kuanzia mil 1.5 nk hadi B1.5
Tunazo Nyumba
za kuuza kuanzia bei ya chini kabisa slopu mil 3 hadi mil 300
Kila MTU atapewa Nyumba kulingana na uwezo wake kwa kiwango kilekile cha hudumaView attachment 1141374View attachment 1141375View attachment 1141376
Maranyingi vinakuwa vijumba Vya udongo wakati mwingine wanakuwa katika maeneo mazuri sana kwa hiyo MTU ananua hako kajumba lengo linakuwa n Kiwanja tu badae anabomoa au anawaweka mafundi wkt wanamjengea Nyumba yake nzuri wakimaliza ujenzi unakavunjilia mbaliHivi Nyumba ya mil tatu inakuwa ya kuishi inakuwaje Mkuu???
Mkuuu nakukubali sana, maeneo ya Mwanza uko vizuri unayajua kweli kweli, sio mchezo ndugu yangu. Mimi nipo nje ya Mwanza ila unavyoyataja mpaka nakumbuka wakati nipo MwanzaKishiri
Mtaa Wa uhishi
Eneo 40*30
Vyumba vitatu
Sebure
Dinning
Upimaji shirikishi
Nyumba Mpya haijaisha
Bei mil 11
Miundo mbinu yote IPO maji na umeme
Njoo uimalizie uhamie
0767-241001whatsup
NB
Tunazonyumba za kupanga kuanzia elfu 40 hadi mil 10
Tunavyoviwanja
kuanzia mil 1.5 nk hadi B1.5
Tunazo Nyumba
za kuuza kuanzia bei ya chini kabisa slopu mil 3 hadi mil 300
Kila MTU atapewa Nyumba kulingana na uwezo wake kwa kiwango kilekile cha hudumaView attachment 1141374View attachment 1141375View attachment 1141376
Kila kichochoro Mkuu hizi kazi Mkuu lazima uyajue maeeneo yote kwa sababu wateja wanatupa majukumu mengi mkuuMkuuu nakukubali sana, maeneo ya Mwanza uko vizuri unayajua kweli kweli, sio mchezo ndugu yangu. Mimi nipo nje ya Mwanza ila unavyoyataja mpaka nakumbuka wakati nipo Mwanza
Childish!!!!![emoji179]Interesting Story for all [emoji179]