KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Lucas Mwashambwa hawezi kuelewa kitu hapa yeye amekunywa jasho ya chura kiziwi haelewi kitu kingine tofauti.Kwanza nianze na salamu ya Kwetu Kwa DPP ( mkurugenzi wa mashitaka) na kaka yangu Sylvester Mwakitalu. UGHONILE KIKOLO NDAGA UTUKUNYIKE. KYALA AKUSAJE NU KUKULINDILILA PAMUSI NA PAKILO.
Pili nimpongeze Mtanganyika mwenzangu na rais wa tatu ajaye ( Baada ya huyu kudumu Kwa muda mfupi atafata mwingine kisha utakuwa wewe) Ndugu Tundu A. Lissu kwa ustahimilivu (resilience) ulioonyesha akiwa ndani ya kuta za magereza Kwa siku zaidi ya 83 Mpaka atakapoachiwa. You are a true and tested candidate bro! Hata kitengo kina Imani nawe isiyo mithirika ( Unwavering faith). Sasa Tanzania imepata upinzani wa kweli baada ya danadana nyingi za kutimiza matakwa ya SAP na world bank huku vyama vingi Tanzania vikiwa ni vyama pandikizi vya chama tawala.
Tatu nikipongeze Chama Chángu pendwa CCM Kwa kutuletea upinzani haswa ambao utaenda kuleta mabadiliko ya kimfumo na kiutendaji na hapa niwe muwazi ( wanachopigania CHADEMA) sio Kwajili ya maslahi yao binafsi Bali ni kwajili ya kila mtanzania. Tunaenda kuwa na nchi Ambayo CHADEMA ikizingua tunaitoa inaingia CCM. CCM ikizingua tunaitoa tunaenda na ACT WAZALENDO au CHAUMMA. Mapito ya LISSU ni yale waingereza wanaita BLESSING IN DISGUISE ilibidi apitie anayopitia Ili atumike kama lango la mabadiliko Tanzania.
Mwisho tujiandae Kwa mtifuano na Siasa Kali sana kuliko wakati wowote Ule. Sema alaumiwe sana aliyeshauri TUNDU LISSU akamatwe na kuwekwa ndani. Kaihujumu nchi toka Kwa wadau wa maendeleo (Donors) na kamuongezea umaarufu LISSU.
NO REFORMS NO ELECTIONKwanza nianze na salamu ya Kwetu Kwa DPP ( mkurugenzi wa mashitaka) na kaka yangu Sylvester Mwakitalu. UGHONILE KIKOLO NDAGA UTUKUNYIKE. KYALA AKUSAJE NU KUKULINDILILA PAMUSI NA PAKILO.
Pili nimpongeze Mtanganyika mwenzangu na rais wa tatu ajaye ( Baada ya huyu kudumu Kwa muda mfupi atafata mwingine kisha utakuwa wewe) Ndugu Tundu A. Lissu kwa ustahimilivu (resilience) ulioonyesha akiwa ndani ya kuta za magereza Kwa siku zaidi ya 83 Mpaka atakapoachiwa. You are a true and tested candidate bro! Hata kitengo kina Imani nawe isiyo mithirika ( Unwavering faith). Sasa Tanzania imepata upinzani wa kweli baada ya danadana nyingi za kutimiza matakwa ya SAP na world bank huku vyama vingi Tanzania vikiwa ni vyama pandikizi vya chama tawala.
Tatu nikipongeze Chama Chángu pendwa CCM Kwa kutuletea upinzani haswa ambao utaenda kuleta mabadiliko ya kimfumo na kiutendaji na hapa niwe muwazi ( wanachopigania CHADEMA) sio Kwajili ya maslahi yao binafsi Bali ni kwajili ya kila mtanzania. Tunaenda kuwa na nchi Ambayo CHADEMA ikizingua tunaitoa inaingia CCM. CCM ikizingua tunaitoa tunaenda na ACT WAZALENDO au CHAUMMA. Mapito ya LISSU ni yale waingereza wanaita BLESSING IN DISGUISE ilibidi apitie anayopitia Ili atumike kama lango la mabadiliko Tanzania.
Mwisho tujiandae Kwa mtifuano na Siasa Kali sana kuliko wakati wowote Ule. Sema alaumiwe sana aliyeshauri TUNDU LISSU akamatwe na kuwekwa ndani. Kaihujumu nchi toka Kwa wadau wa maendeleo (Donors) na kamuongezea umaarufu LISSU.
shika mshangazi mkuu.Duh mpaka nachoka huku Israel vs Iran huku singida dodoma huku mange kimambi huku Lissu antiphas Tundu sijui ata nishike lipi.
Kwanza nianze na salamu ya Kwetu Kwa DPP ( mkurugenzi wa mashitaka) na kaka yangu Sylvester Mwakitalu. UGHONILE KIKOLO NDAGA UTUKUNYIKE. KYALA AKUSAJE NU KUKULINDILILA PAMUSI NA PAKILO.
Pili nimpongeze Mtanganyika mwenzangu na rais wa tatu ajaye ( Baada ya huyu kudumu Kwa muda mfupi atafata mwingine kisha utakuwa wewe) Ndugu Tundu A. Lissu kwa ustahimilivu (resilience) ulioonyesha akiwa ndani ya kuta za magereza Kwa siku zaidi ya 83 Mpaka atakapoachiwa. You are a true and tested candidate bro! Hata kitengo kina Imani nawe isiyo mithirika ( Unwavering faith). Sasa Tanzania imepata upinzani wa kweli baada ya danadana nyingi za kutimiza matakwa ya SAP na world bank huku vyama vingi Tanzania vikiwa ni vyama pandikizi vya chama tawala.
Tatu nikipongeze Chama Chángu pendwa CCM Kwa kutuletea upinzani haswa ambao utaenda kuleta mabadiliko ya kimfumo na kiutendaji na hapa niwe muwazi ( wanachopigania CHADEMA) sio Kwajili ya maslahi yao binafsi Bali ni kwajili ya kila mtanzania. Tunaenda kuwa na nchi Ambayo CHADEMA ikizingua tunaitoa inaingia CCM. CCM ikizingua tunaitoa tunaenda na ACT WAZALENDO au CHAUMMA. Mapito ya LISSU ni yale waingereza wanaita BLESSING IN DISGUISE ilibidi apitie anayopitia Ili atumike kama lango la mabadiliko Tanzania.
Mwisho tujiandae Kwa mtifuano na Siasa Kali sana kuliko wakati wowote Ule. Sema alaumiwe sana aliyeshauri TUNDU LISSU akamatwe na kuwekwa ndani. Kaihujumu nchi toka Kwa wadau wa maendeleo (Donors) na kamuongezea umaarufu LISSU.
Shika la LissuDuh mpaka nachoka huku Israel vs Iran huku singida dodoma huku mange kimambi huku Lissu antiphas Tundu sijui ata nishike lipi.
tJana nilifanikiwa kupata muda fulani wa kusoma comments za FB, twita, na Youtube kuhusu ule uwasilishaji wa TAL mahakamani.
Aiseee! Itoshe tu kusema watu wametoa yote ya moyoni. Unaweza kutoa chozi zito!
We're so blessed with renown, coveted individuals, but for some sad reasons we have chosen not to see. LORD have mercy!
Watu wanaumia ndani kwa ndani hawasemi tu, ila yote yana mwisho..Jana nilifanikiwa kupata muda fulani wa kusoma comments za FB, twita, na Youtube kuhusu ule uwasilishaji wa TAL mahakamani.
Aiseee! Itoshe tu kusema watu wametoa yote ya moyoni. Unaweza kutoa chozi zito!
We're so blessed with renown, coveted individuals, but somehow we have chosen not to see. LORD have mercy!
Lakini chawa wanashangilia kutumia pesa za mapato ya ndani kwenye kutik uchaguzi,hii imekaaje mkuu.Hapo paragraph ya mwisho, hali ni mbaya sana huko kwingineko. Majamaa yatapiga pini sadaka zao wanazotoa wakati bakauri linapopita.