Ndio hivyo mkuu .. ni bass tu tunasubiri Sheria ifanye kazi lkn for sure mwamba Hana hatia. Mii naumia Sana ni bass tu.Lete habari kamili wote sisi tunatamani binadamu mwenzetu Lissu awe uraiani kwani kiukweli sioni nini chenye kumuweka gerezani
Yule kibiongo anayejiita Traa traaa, Lucas Mwoshambwa na mwenzake Kïnëmbé wakikusia wanalianzishaLete habari kamili wote sisi tunatamani binadamu mwenzetu Lissu awe uraiani kwani kiukweli sioni nini chenye kumuweka gerezani
Una marinda??Lissu akili kubwa, achana na jimama lenu lipumbavu
👌👌Lissu is among of the few heritage we have been endowed with
t
Hapo tuuh!Amna kingine Cha msingi nkamu umeandika.Mwisho tujiandae Kwa mtifuano na Siasa Kali sana kuliko wakati wowote Ule. Sema alaumiwe sana aliyeshauri TUNDU LISSU akamatwe na kuwekwa ndani. Kaihujumu nchi toka Kwa wadau wa maendeleo (Donors) na kamuongezea umaarufu LISSU.
Mtu wa aina hii,mtuhumiwa wa kesi ya uhaini anayenyimwa haki ya kuabudu na kuwekwa kwa wanaosubiri kunyongwa lakini anafundisha sheria mahakamani Kisutu kwa wanasheria wa serikali bila kujali anasubiri kunyongwa, halafu huyu CCM wanataka kumnyonga mpaka afe baada ya kushindwa marisasi!Kwanza nianze na salamu ya Kwetu Kwa DPP ( mkurugenzi wa mashitaka) na kaka yangu Sylvester Mwakitalu. UGHONILE KIKOLO NDAGA UTUKUNYIKE. KYALA AKUSAJE NU KUKULINDILILA PAMUSI NA PAKILO.
Pili nimpongeze Mtanganyika mwenzangu na rais wa tatu ajaye ( Baada ya huyu kudumu Kwa muda mfupi atafata mwingine kisha utakuwa wewe) Ndugu Tundu A. Lissu kwa ustahimilivu (resilience) ulioonyesha akiwa ndani ya kuta za magereza Kwa siku zaidi ya 83 Mpaka atakapoachiwa. You are a true and tested candidate bro! Hata kitengo kina Imani nawe isiyo mithirika ( Unwavering faith). Sasa Tanzania imepata upinzani wa kweli baada ya danadana nyingi za kutimiza matakwa ya SAP na world bank huku vyama vingi Tanzania vikiwa ni vyama pandikizi vya chama tawala.
Tatu nikipongeze Chama Chángu pendwa CCM Kwa kutuletea upinzani haswa ambao utaenda kuleta mabadiliko ya kimfumo na kiutendaji na hapa niwe muwazi ( wanachopigania CHADEMA) sio Kwajili ya maslahi yao binafsi Bali ni kwajili ya kila mtanzania. Tunaenda kuwa na nchi Ambayo CHADEMA ikizingua tunaitoa inaingia CCM. CCM ikizingua tunaitoa tunaenda na ACT WAZALENDO au CHAUMMA. Mapito ya LISSU ni yale waingereza wanaita BLESSING IN DISGUISE ilibidi apitie anayopitia Ili atumike kama lango la mabadiliko Tanzania.
Mwisho tujiandae Kwa mtifuano na Siasa Kali sana kuliko wakati wowote Ule. Sema alaumiwe sana aliyeshauri TUNDU LISSU akamatwe na kuwekwa ndani. Kaihujumu nchi toka Kwa wadau wa maendeleo (Donors) na kamuongezea umaarufu LISSU.
Dah,Karibu uraiani Tundu Antiphas Mughwai Lissu, heshima iliyoje kwako DPP Mwakitalu
Mmmh!Kwanza nianze na salamu ya Kwetu Kwa DPP ( mkurugenzi wa mashitaka) na kaka yangu Sylvester Mwakitalu. UGHONILE KIKOLO NDAGA UTUKUNYIKE. KYALA AKUSAJE NU KUKULINDILILA PAMUSI NA PAKILO.
Pili nimpongeze Mtanganyika mwenzangu na rais wa tatu ajaye ( Baada ya huyu kudumu Kwa muda mfupi atafata mwingine kisha utakuwa wewe) Ndugu Tundu A. Lissu kwa ustahimilivu (resilience) ulioonyesha akiwa ndani ya kuta za magereza Kwa siku zaidi ya 83 Mpaka atakapoachiwa. You are a true and tested candidate bro! Hata kitengo kina Imani nawe isiyo mithirika ( Unwavering faith). Sasa Tanzania imepata upinzani wa kweli baada ya danadana nyingi za kutimiza matakwa ya SAP na world bank huku vyama vingi Tanzania vikiwa ni vyama pandikizi vya chama tawala.
Tatu nikipongeze Chama Chángu pendwa CCM Kwa kutuletea upinzani haswa ambao utaenda kuleta mabadiliko ya kimfumo na kiutendaji na hapa niwe muwazi ( wanachopigania CHADEMA) sio Kwajili ya maslahi yao binafsi Bali ni kwajili ya kila mtanzania. Tunaenda kuwa na nchi Ambayo CHADEMA ikizingua tunaitoa inaingia CCM. CCM ikizingua tunaitoa tunaenda na ACT WAZALENDO au CHAUMMA. Mapito ya LISSU ni yale waingereza wanaita BLESSING IN DISGUISE ilibidi apitie anayopitia Ili atumike kama lango la mabadiliko Tanzania.
Mwisho tujiandae Kwa mtifuano na Siasa Kali sana kuliko wakati wowote Ule. Sema alaumiwe sana aliyeshauri TUNDU LISSU akamatwe na kuwekwa ndani. Kaihujumu nchi toka Kwa wadau wa maendeleo (Donors) na kamuongezea umaarufu LISSU.
^Mniachie mimi nikimbizane nao!^Mtu wa aina hii,mtuhumiwa wa kesi ya uhaini anayenyimwa haki ya kuabudu na kuwekwa kwa wanaosubiri kunyongwa lakini anafundisha sheria mahakamani Kisutu kwa wanasheria wa serikali bila kujali anasubiri kunyongwa, halafu huyu CCM wanataka kumnyonga mpaka afe baada ya kushindwa marisasi!
Mtu amerithi kiti cha marehemu kama vile ni mali za baba yake.Mmmh!
Ngoja tu niamini kwa sababu ya jina la mleta mada
Watu nadra kuwepo hapa, huja wakiwa na vitu vya ukweli
Kwa heri CCM
😆😆😆😆😆Kwenye mabano hapo!
"Mtanganyika baada ya huyu kudumu kwa muda mfupi,halafu utakuja wewe (Lisu)!!
Elezea vizuri mkuu!!