Karibu uraiani Tundu Antiphas Mughwai Lissu, heshima iliyoje kwako DPP Mwakitalu

Kwanza nianze na salamu ya Kwetu Kwa DPP ( mkurugenzi wa mashitaka) na kaka yangu Sylvester Mwakitalu. UGHONILE KIKOLO NDAGA UTUKUNYIKE. KYALA AKUSAJE NU KUKULINDILILA PAMUSI NA PAKILO.

Pili nimpongeze Mtanganyika mwenzangu na rais wa tatu ajaye ( Baada ya huyu kudumu Kwa muda mfupi atafata mwingine kisha utakuwa wewe) Ndugu Tundu A. Lissu kwa ustahimilivu (resilience) ulioonyesha akiwa ndani ya kuta za magereza Kwa siku zaidi ya 83 Mpaka atakapoachiwa. You are a true and tested candidate bro! Hata kitengo kina Imani nawe isiyo mithirika ( Unwavering faith). Sasa Tanzania imepata upinzani wa kweli baada ya danadana nyingi za kutimiza matakwa ya SAP na world bank huku vyama vingi Tanzania vikiwa ni vyama pandikizi vya chama tawala.

Tatu nikipongeze Chama Chángu pendwa CCM Kwa kutuletea upinzani haswa ambao utaenda kuleta mabadiliko ya kimfumo na kiutendaji na hapa niwe muwazi ( wanachopigania CHADEMA) sio Kwajili ya maslahi yao binafsi Bali ni kwajili ya kila mtanzania. Tunaenda kuwa na nchi Ambayo CHADEMA ikizingua tunaitoa inaingia CCM. CCM ikizingua tunaitoa tunaenda na ACT WAZALENDO au CHAUMMA. Mapito ya LISSU ni yale waingereza wanaita BLESSING IN DISGUISE ilibidi apitie anayopitia Ili atumike kama lango la mabadiliko Tanzania.

Mwisho tujiandae Kwa mtifuano na Siasa Kali sana kuliko wakati wowote Ule. Sema alaumiwe sana aliyeshauri TUNDU LISSU akamatwe na kuwekwa ndani. Kaihujumu nchi toka Kwa wadau wa maendeleo (Donors) na kamuongezea umaarufu LISSU.
Huwa kuna muda watu hifikiri nje ya mipaka, ccm sio kibaya watu baadhi yao ndio wanafanya kionekane kibaya

Chadema sio wabinafsi, wao wako pamoja na wananchi katika maendeleo yao
 
Kuna yule mwingine wanamwita sijui mwamba alibanwa kidogo tu alipoachiwa breki ya kwanza jumba jeupe akasahau hata kufika ofisini kwanza kuongea na wale waliokua wanamlilia na kumchangia ela hii nchi imekua na matapeli wengi sana wa siasa tuombe mungu sana labda huyu anaweza kuleta mabadiliko
Tajiri kanunua chama cha mzee wa ubwabwa.
 
Kwanza nianze na salamu ya Kwetu Kwa DPP ( mkurugenzi wa mashitaka) na kaka yangu Sylvester Mwakitalu. UGHONILE KIKOLO NDAGA UTUKUNYIKE. KYALA AKUSAJE NU KUKULINDILILA PAMUSI NA PAKILO.

Pili nimpongeze Mtanganyika mwenzangu na rais wa tatu ajaye ( Baada ya huyu kudumu Kwa muda mfupi atafata mwingine kisha utakuwa wewe) Ndugu Tundu A. Lissu kwa ustahimilivu (resilience) ulioonyesha akiwa ndani ya kuta za magereza Kwa siku zaidi ya 83 Mpaka atakapoachiwa. You are a true and tested candidate bro! Hata kitengo kina Imani nawe isiyo mithirika ( Unwavering faith). Sasa Tanzania imepata upinzani wa kweli baada ya danadana nyingi za kutimiza matakwa ya SAP na world bank huku vyama vingi Tanzania vikiwa ni vyama pandikizi vya chama tawala.

Tatu nikipongeze Chama Chángu pendwa CCM Kwa kutuletea upinzani haswa ambao utaenda kuleta mabadiliko ya kimfumo na kiutendaji na hapa niwe muwazi ( wanachopigania CHADEMA) sio Kwajili ya maslahi yao binafsi Bali ni kwajili ya kila mtanzania. Tunaenda kuwa na nchi Ambayo CHADEMA ikizingua tunaitoa inaingia CCM. CCM ikizingua tunaitoa tunaenda na ACT WAZALENDO au CHAUMMA. Mapito ya LISSU ni yale waingereza wanaita BLESSING IN DISGUISE ilibidi apitie anayopitia Ili atumike kama lango la mabadiliko Tanzania.

Mwisho tujiandae Kwa mtifuano na Siasa Kali sana kuliko wakati wowote Ule. Sema alaumiwe sana aliyeshauri TUNDU LISSU akamatwe na kuwekwa ndani. Kaihujumu nchi toka Kwa wadau wa maendeleo (Donors) na kamuongezea umaarufu LISSU.
Ndugu

Huyo aliyeshauri Kaka Lissu awekwe ndani ni shetani kabisa.

Amesababisha maafa na madonda kwa majirani na dunia kuona watanzania wanaongozwa kwa kubahatisha.

Ila mambo mengi yaliyokuwa yamejificha nyuma ya pazia yamejulikana wazi. Na Dunia imejua utawala wa CCM inavyowakandamiza raia wake
 
Kwanza nianze na salamu ya Kwetu Kwa DPP ( mkurugenzi wa mashitaka) na kaka yangu Sylvester Mwakitalu. UGHONILE KIKOLO NDAGA UTUKUNYIKE. KYALA AKUSAJE NU KUKULINDILILA PAMUSI NA PAKILO.

Pili nimpongeze Mtanganyika mwenzangu na rais wa tatu ajaye ( Baada ya huyu kudumu Kwa muda mfupi atafata mwingine kisha utakuwa wewe) Ndugu Tundu A. Lissu kwa ustahimilivu (resilience) ulioonyesha akiwa ndani ya kuta za magereza Kwa siku zaidi ya 83 Mpaka atakapoachiwa. You are a true and tested candidate bro! Hata kitengo kina Imani nawe isiyo mithirika ( Unwavering faith). Sasa Tanzania imepata upinzani wa kweli baada ya danadana nyingi za kutimiza matakwa ya SAP na world bank huku vyama vingi Tanzania vikiwa ni vyama pandikizi vya chama tawala.

Tatu nikipongeze Chama Chángu pendwa CCM Kwa kutuletea upinzani haswa ambao utaenda kuleta mabadiliko ya kimfumo na kiutendaji na hapa niwe muwazi ( wanachopigania CHADEMA) sio Kwajili ya maslahi yao binafsi Bali ni kwajili ya kila mtanzania. Tunaenda kuwa na nchi Ambayo CHADEMA ikizingua tunaitoa inaingia CCM. CCM ikizingua tunaitoa tunaenda na ACT WAZALENDO au CHAUMMA. Mapito ya LISSU ni yale waingereza wanaita BLESSING IN DISGUISE ilibidi apitie anayopitia Ili atumike kama lango la mabadiliko Tanzania.

Mwisho tujiandae Kwa mtifuano na Siasa Kali sana kuliko wakati wowote Ule. Sema alaumiwe sana aliyeshauri TUNDU LISSU akamatwe na kuwekwa ndani. Kaihujumu nchi toka Kwa wadau wa maendeleo (Donors) na kamuongezea umaarufu LISSU.
Nina mashaka kama nduguyo, Kaka yako Mwakitalu ana deserve hiyo heshima , maana katika idara inayoendesha Kesi za hovyo ni DPP office.
 
Nasubiria itokee chama chetu kinajisahau halafu kinahishi kwa maigizo na kizamani sana akitaki kwenda na wakati uliopo, mabadiliko lazima ipo siku tutatoka kwa fedheha.

Ukiwa mpenda mabadiliko kwenye chama utatengenezewa mizengwe tu.
alianza NGUGAI, akaja GWAJIMA sasa ni MPINA.
 
Ilo ndo tatizo la chama chetu kinaishi Kizamani na propaganda za kipumbavu kimsingi ambazo zimepitwa na wakati wanafikiri watu wanaowaogoza ni wajinga
 
Sijui! Ikitokea ujue huenda maombi ya Kanisa la ufufuo yatakuwa yamejibiwa.
 
DPP keshaambiwa
Kwanza nianze na salamu ya Kwetu Kwa DPP ( mkurugenzi wa mashitaka) na kaka yangu Sylvester Mwakitalu. UGHONILE KIKOLO NDAGA UTUKUNYIKE. KYALA AKUSAJE NU KUKULINDILILA PAMUSI NA PAKILO.

Pili nimpongeze Mtanganyika mwenzangu na rais wa tatu ajaye ( Baada ya huyu kudumu Kwa muda mfupi atafata mwingine kisha utakuwa wewe) Ndugu Tundu A. Lissu kwa ustahimilivu (resilience) ulioonyesha akiwa ndani ya kuta za magereza Kwa siku zaidi ya 83 Mpaka atakapoachiwa. You are a true and tested candidate bro! Hata kitengo kina Imani nawe isiyo mithirika ( Unwavering faith). Sasa Tanzania imepata upinzani wa kweli baada ya danadana nyingi za kutimiza matakwa ya SAP na world bank huku vyama vingi Tanzania vikiwa ni vyama pandikizi vya chama tawala.

Tatu nikipongeze Chama Chángu pendwa CCM Kwa kutuletea upinzani haswa ambao utaenda kuleta mabadiliko ya kimfumo na kiutendaji na hapa niwe muwazi ( wanachopigania CHADEMA) sio Kwajili ya maslahi yao binafsi Bali ni kwajili ya kila mtanzania. Tunaenda kuwa na nchi Ambayo CHADEMA ikizingua tunaitoa inaingia CCM. CCM ikizingua tunaitoa tunaenda na ACT WAZALENDO au CHAUMMA. Mapito ya LISSU ni yale waingereza wanaita BLESSING IN DISGUISE ilibidi apitie anayopitia Ili atumike kama lango la mabadiliko Tanzania.

Mwisho tujiandae Kwa mtifuano na Siasa Kali sana kuliko wakati wowote Ule. Sema alaumiwe sana aliyeshauri TUNDU LISSU akamatwe na kuwekwa ndani. Kaihujumu nchi toka Kwa wadau wa maendeleo (Donors) na kamuongezea umaarufu LISSU.
kuwa tunampandisha kinyonga juu ya mti,ni bora atoke tu maana tulidhani tunamkomoa kumbe tunamsaidia pakubwa sana.
 
NO REFORMS NO ELECTION
mimi sio chadema wala sina kadi ya chama hiki ila nimeelewa maana ya akauli mbiu yao na nimeipokea kama ulivyooeleza hapo juu. Uzi wako mzuri na umekomaa mkuu na unastahili heshima yako chama cha mapinduzi kimebugi kumkamata lissu
Mtanganyika aliye na AKILI TIMAMU na ANAYETUMIA HIZO AKILI VIZURI anapaswa kuunga mkono hii kaulimbiu bila kujali itikadi yake.
Mimi huwa sihitaji kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa lkn siwezi kukwepa timu ya UKOMBOZI WA TANGANYIKA.

NO REFORMS NO ELECTION.
 
Kuna huyu dada ameongea kwa ujasiri mno.

Ukipata nafasi mfuatilie YouTube - andika MADORA TV usitutishe (clip ya dakika 6 hivi).

Ameongea kwa uchungu sana kuhusu yanayoendelea.

Mungu ibariki Tanzania!
 
Back
Top Bottom