KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
- Thread starter
- #61
Merci beaucoup, mon frère
Merci Aussi, Je suis content pour ton informations. Tu es genial.Merci beaucoup, mon frère
nine ngwitika nnkamu gwanguAtuhobhosyege itolo
Bado kesi ya Lisu ni ngumuKuna yule mwingine wanamwita sijui mwamba alibanwa kidogo tu alipoachiwa breki ya kwanza jumba jeupe akasahau hata kufika ofisini kwanza kuongea na wale waliokua wanamlilia na kumchangia ela hii nchi imekua na matapeli wengi sana wa siasa tuombe mungu sana labda huyu anaweza kuleta mabadiliko
Shida ipo pale paleHoya malizia habari, DPP ameamua kutoendelea na hii case ya mchongo?
Mungu ni mwenye kusikia maombi na dua za waja wake.Kichwa Cha HABARI kimenistua sana,nilijua Mungu ninaemuomba kasikia maombi yangu!
Io kesi ya pili inadhamana so atapewa dhamanaAnaachiwa kwa Nolle prosequi na anadakwa tena kurudishwa ndani kwa kesi nyingine, yani akitoka tu viunga vya mahakamani au gerezani anadakwa upya anarudishwa lockup ya polisi na kurudishwa upya mahakamani
Akidakwa tena atadakwa na.mama yako ili.lisu akapate kisusio gerezani au unaonanaje we papai?Anaachiwa kwa Nolle prosequi na anadakwa tena kurudishwa ndani kwa kesi nyingine, yani akitoka tu viunga vya mahakamani au gerezani anadakwa upya anarudishwa lockup ya polisi na kurudishwa upya mahakamani
Umenikumbusha neno letu pendwa la mtaani la ninaenda kukinukisha ama tunaenda kukinukisha kwasasa ukitamuka hivyo utashitakiwa na jamhuri kwa kesi ya uhainiHoya malizia habari, DPP ameamua kutoendelea na hii case ya mchongo?
Sikuwahi kuelewa umuhimu wa Lisu mpaka siku Magu amefariki na hili bibi kushika madarakaJana nilifanikiwa kupata muda fulani wa kusoma comments za FB, twita, na Youtube kuhusu ule uwasilishaji wa TAL mahakamani.
Aiseee! Itoshe tu kusema watu wametoa yote ya moyoni. Unaweza kutoa chozi zito!
Comment nne hizi hapa:
1. ^Watu kama hawa, nchi zingine zinawalinda kwa wivu mkubwa, lakini sisi hapa tuko mstari wa mbele kujaribu kuwafuta.^
2. ^TAL siyo mbinafsi. Amewatetea hadi wafungwa wengine gerezani. Hajizungumzii yeye peke yake - japo yeye si mfungwa! Yule afisa wa Farao alimsahau Yusufu aliyekuwa naye gerezani pamoja na kwamba ndoto yake ilipotiki alimsisitiza akamtetee kwa Farao. Lakini TAL hakurudia kosa la huyo afisa wa Farao.^
3. ^Tulioko nje, kila mmoja kwa nafasi yake, tuna wajibu wa kuhakikisha kwamba haki inapatikana haraka kwa TAL. Tuache ubinafsi. Tuache kujisahau. Kila mmoja afanye kitu, hata kwa kusali au kuandika tu, sauti zetu zisikike. Tuna mengi sana ya kumfanyia, na dunia inatutazama!^
4. ^We're so blessed with renown, coveted individuals, but for some sad, selfish reasons we have chosen not to see. LORD have mercy!^
5. Funga mwaka ni hii comment: ^Tukizungumzia rasilimali za taifa, TAL naye ni tunu mojawapo!^
Nilifikia hitimisho langu mwenyewe kwamba sisi Watanzania ni wabinafsi wakubwa sana, na ubinafsi huo tumeuficha kwenye hoja na dhana fulani fulani ambazo kwa nje ni nzuri tena sana tu.