Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
- Thread starter
- #221
ni kweli maana haya magari mengi ni ya kubust aiseeUmeonaeee gari inaweza kugoma kupandaa mlima bhanaa bhanaa ukamsaidia kusukuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli maana haya magari mengi ni ya kubust aiseeUmeonaeee gari inaweza kugoma kupandaa mlima bhanaa bhanaa ukamsaidia kusukuma
[emoji4] [emoji2]Nakuona[emoji87] unavyojipigia promo
hii rizki jirani ishaingia mdudu itakutokea puwani [emoji4] [emoji4] [emoji4]Jiranii hii tabia sinimekukanyaaa mbn wanizibia riziki hili buzi niachie mwenyew keshajipendekeza kununua tule tu wine ngoja nikalichune.... Sasa unavyomwambia mpo wengi nawewe nijirani yangu huonii unaniharibia riziki[emoji6]
Mimi mzima hofu kwako habibyHahahaha,sijamboo mzima ww,binamu anakusema mm sio[emoji16][emoji28]
Tuna wageni leo na kesho ndo maana napatikana kwa taabuTulikungoja kwa hamu[emoji28]
Binamu anataka posho tu huyoYa kweli hayooo[emoji28]mana wewe nshapata taarifa zako kutoka kwa kaka binamu
Mimi naamini huwezi niwekea dhana mbaya.Hahahahaha acha uhasidi ww,mbn unanipakazia sasa
Ningekuwa Siogopi kwamba utakufa kwa uroho kama "kipunda cha Uroa"ningemruhusu habiby akuite dear binamu ha ha ha ha ha ha.[emoji16][emoji16][emoji16]Umemuona
Binamu siku namie ukiniita Dia naweza nikapoteza fahamu hapo hapo na nisiinuke tena
Nakupa life warranty on thatYa kweli hayooo[emoji28]mana wewe nshapata taarifa zako kutoka kwa kaka binamu
Kelele za chura.... Hazinizuii kuteka maji[emoji30]Hajakupa maneno bado
Kwa hio wewe nani kama sio binamu?Aku mie sie Binam huyo
Shem wacha fitna.... Tukigombana na dadaako utapata nini?kakuamini sababu yuko kwa mke wa pili ngoja atoke huko ndo utamjua
Mwangalie.... Asilete mtongozo wa kibinabinamu huyo...... Shem nitakupiga ban usifike kwangu kama mpango ndo huo. Usije Ukasema navunja udugu.Hahahaha [emoji23]kisa na mkasa
Hofu ondoa habiby[emoji3][emoji3]Usitake kunipa preshaaa
Mimi Nakupendea hapo[emoji13]Ww ntakwita binamu tuuu
Shem wako kwa nani?Nilikuwa nampa maana tu huyo shem
Hivi huyu naye kanunua gari amepata wapi hela? halafu si nilisikia yule mama wa nyumba ya tatu alikuwa na vyeti feki mbona nimemuona asubuhi asubuhi anapanda gari kavaa kama anaenda kazini? pia nilisahau yule kijana wa kwa mzee Juma hivi siku hizi anamchukua Bi Chaurembo?
Wallahi Yanga hawawezi kuchukua kombe, iwe isiwe Simba watachukua si unaijua kamati ya ufundi ya Simba.
Wakati binamu ni wewe ha ha haok sawa maana isije ukautengeneza ubinamu
Ha ha ha ha ha ha.... Usimsikilize huyomzeewakungoa[emoji28][emoji1]uko kwa mke wa pili wa jangwani atiiii
hahaha acha nijilie mie hakuna uharamuMwangalie.... Asilete mtongozo wa kibinabinamu huyo...... Shem nitakupiga ban usifike kwangu kama mpango ndo huo. Usije Ukasema navunja udugu.