Karibuni Baraza la Kahawa

Karibuni Baraza la Kahawa

Jiranii hii tabia sinimekukanyaaa mbn wanizibia riziki hili buzi niachie mwenyew keshajipendekeza kununua tule tu wine ngoja nikalichune.... Sasa unavyomwambia mpo wengi nawewe nijirani yangu huonii unaniharibia riziki[emoji6]
hii rizki jirani ishaingia mdudu itakutokea puwani [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Hivi huyu naye kanunua gari amepata wapi hela? halafu si nilisikia yule mama wa nyumba ya tatu alikuwa na vyeti feki mbona nimemuona asubuhi asubuhi anapanda gari kavaa kama anaenda kazini? pia nilisahau yule kijana wa kwa mzee Juma hivi siku hizi anamchukua Bi Chaurembo?
Wallahi Yanga hawawezi kuchukua kombe, iwe isiwe Simba watachukua si unaijua kamati ya ufundi ya Simba.

Mkuu kijiwe unakiweza hahahahaha
 
Back
Top Bottom