Karibuni Jijini Mwanza (Rock City)

Karibuni Jijini Mwanza (Rock City)

Nilienda pale Villa Park, nikaagiza niletewe lunch. Daaah, nikaletewa bonge la samaki sato (mzima mzima) wa kuchoma na dona, na mazagazaga mengine kibao. Sasa ukitaka kuujua utamu wa sato, anza kula kichwa, halafu ndio unashuka chini. Jamani sato ni mtamu, mimi sio mlaji wa ugali, lakini siku hiyo nilimaliza ugali wote! Sasa baada ya kumaliza, nikajua inakuja bonge la bili, nikawa na wasiwasi! Inakuja bili, kumbe ni shs 12000/= tu, nikalipa, then nikasepa na kwenda kiwanja cha Bundesliga (maeneo ya Buzuruga). Nakumbuka nilienjoy sana kwa wiki mbili nilizokaa Mwanza. Mwanza patamu!

Hujaongelea swala la mazeze, au hukukurupusha zeze hata angalau?
 
mji wa Mwanza wenyeji ni wachafu na washamba sana. Ila mzunguko wa hela uko vizuri kuanzia hela halali na haramu
Nimeishi Mwanza mjini kuanzia 1989 mpaka 2019
 
mji wa Mwanza wenyeji ni wachafu na washamba sana. Ila mzunguko wa hela uko vizuri kuanzia hela halali na haramu
Nimeishi Mwanza mjini kuanzia 1989 mpaka 2019
Wewe ndio mchafu na familia yako acha kusingizia wenyeji wa Mwanza.
 
Mwaka Jana nilivukia sehemu moja inaitwa KAYENZE kuna ferry pale inavusha Hadi ukerewe ni bonge moja la mji
 
Halafu Mwanza ilitakiwa njia nne kutokea usagara hadi mjini, cha ajabu waliplan kanjia kamoja tuu, sema uswazi nyingi sana milimani
Ila ni jiji lenye mandhari nzuri ya kuvutia

Daraja la Busisi kigongo likikamilika mji utakua [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Screenshot_20230401-164109.png
 
Back
Top Bottom