Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Tungekuwa mbali kivipi, kwenye nini..? Kuna anayeweza Shindana kwenye dunia hii na Kanisa Katoliki kwenye mambo ya Biblia...??mngefanya hilo enzi za zama za giza ambapo bibilia ilisomwa na makasisi na viongozi wa dini tu huku waumini wakisubiri kulishwa bila kuhakiki wanacholishwa ni sasa hivi mngekuwa mbali.
Nawatakia Shule njema,
Sio Darasa.....Ni shule kamilibarikiwa pia mkuu. Darasa jema
Hata huyo Yesu kabla ya kimleta Roho Mtakatifu aliwafundisha kwanza wanafunzi wake kwa miaka mitatu....
Unafikiri alikuwa hana uwezo wa kuwashishia siku anaanza ministry yake...?
kwa sababu wewe ni mpenzi wa mantiki.Hivi, una vyanzo vya kutosha kwamba Yesu hakupitia shule?
sawa mkuu, najua na wewe mkufunzi wa bible knowledge lazima upewe lekcha kadhaa. Ila usilishe watu propaganda zako za jf.Sio Darasa.....Ni shule kamili
je , GAMALIELI alikuwa ni muandishi au mfarisayo ?? au alikuwa ni mwandishi na farisayo vyote pamoja ?Matendo 5.
Kinapingana na maamuzi ya wazazi wa Paulo walioamua kumpeleka mtoto wao kitokea huko Tarso kwenda Yerusalem kufunzwa miguuni kwa mkufunzi na FARISAYO MBOBEZI GAMALIELI, Kiasi cha Kumfanya Paulo naye Kuwa Mbobezi wa maandiko hayo na FARISAYO Sugu mwenye roho mbaya dhidi ya wafuasi wa Kristo.
ndugu yangu katika kristo hao wanaotajwa ktk marko 2:18 kama "wanafunzi wa mafarisayo" ni wanafunzi wa kawaida au wanachama wapya/wachanga katika muktadha wa malengo ya kikundi chao tu kwa maana ya kuwa unapokuwa na kundi fulani lazima uwe na viongozi/wakufunzi wa sheria na taratibu za kikundi husika kwa wanachama wapya. na sio katika muktadha wa kwamba hao wanafunzi wa mafarisyo ni wanafunzi kwa ajili ya ubobezi wa sheria. kwa madai yako itabidi ukiri kuwa hata hao wanaotajwa kama "wanafunzi wa yohane" ni wanafunzi katika muktadha wa ubobezi na utaalamu wa maandiko. na wanaotajwa pia kama "wanafunzi wa yesu" ni wanafunzi katika muktadha wa ubobezi na utaalamu wa maaandiko. kwa maana hiyo wasadukayo walikuwa na wanafunzi/wanacha wapya na walimu wao, wazeloti, waeseni vile vile nkMarko 2:18
Nao wanafunzi wake Yohana na Mafarisayo walikuwa wakifunga; basi walikuja, wakamwambia, Kwani wanafunzi wa Yohana na wanafunzi wa Mafarisayo hufunga, bali wanafunzi wako hawafungi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kama wakiniruhusu nijiunge bure siwezi; hawa ndio waharibifu wa maandiko matakatifu!
sio yeye peke yake wako wengi japo sio kiasi cha kutisha ....Fr. Amigu mtalamu wa Biblia , hii si ya kukosa
Hata kama wakiniruhusu nijiunge bure siwezi; hawa ndio waharibifu wa maandiko matakatifu!
ahsanteHata huyo Yesu kabla ya kimleta Roho Mtakatifu aliwafundisha kwanza wanafunzi wake kwa miaka mitatu....
Unafikiri alikuwa hana uwezo wa kuwashishia siku anaanza ministry yake...?
wabobezi ndio watu gani mkuu. siwezi kujiunga shule mbili, mimi niko shuleni mwa kristo tangu nilipoamini, graduation ni siku ya kulala mavumbini.Jiunge na semina acha kusemea nyuma ya mlango,niliwahi kukuambia kuwa kuna wabobezi wa maandiko matakatifu ambao kamwe huwezi wakuta humu JF au popote pale kwenye mitandao ya kijamii.
We jamaa huwa ni kigeugeu sana,alafu unenavyo sivyo utendavyo...,wabobezi ndio watu gani mkuu. siwezi kujiunga shule mbili, mimi niko shuleni mwa kristo tangu nilipoamini, graduation ni siku ya kulala mavumbini.
wanatafutwa ambao hawako shuleni.
wasabato hata kama wangeanza juzi.Kanisa limepitia Nyakati nyingi katika historia yake na kila nyakati ilikuwa na mahitaji yake.
Wakati imani ya Kikristo inaingia miongoni mwa jamii wkt ule wa karne ya kwanza sio kila mtu alijua kusoma na kuandika,kwahyo ilibidi wasomewe na kutafisiriwa na wanaojua kusoma ili Injili ienee kwa kwao,na hata wkt ule wamisionari wanaingia Afrika hususani Tz sio kila mtu alijua kusoma na kuandika na pia ukumbuke kuwa Missionaries walikuja na Injili ikiwa katika lugha ya kigeni kwahyo iliwabidi wasambaze shule kwanza ili kujifunza lugha zao pamoja na mengine kama geography,mathematics nk, ili kuwapa elimu dunia kisha kuwapa elimu ya Mungu.
Mitale siamini kama bibi yako alijua kusoma na kuandika,kwahyo ili kuipata Injili ilibidi atumike mtu kuwasomea na kutafasiri na ukumbuke utafasiri huo ulitoka kwenye lugha ya kigeni kwanza na kuja kwenye lugha za asili,ndio maana nyakati zile walitumika makuhani wa asili ambao tayari walikuwa wameshapata elimu toka kwa missionaries katika kufundisha bible.
Lkn pia sio kosa lako kuandika hivi kwa sababu Usabato umeingia juzi kukiwa tayari watu washaujua Ukristo na pia wengi wao wakiwa wanajua kusoma na kuandika.
Leo Kanisa Katoliki linatimiza miaka 150 ya Uinjishaji hapa Tz yani Missionary wa kwanza aliingia nchi 1868 ambapo ni miaka michache tangu kuasisiwa kwa SDAC duniani.
Nimeamua Kujifunza Bibilia kupitia kwa Mwalimu mkuu sio scholars na Marabbi unaodhani ni wabobezi. Ila Maoni yao ninayafuatilia sionhao tu waislam, wabudha wasabato wenzangu, wayahudi, etc.We jamaa huwa ni kigeugeu sana,alafu unenavyo sivyo utendavyo...,
Unasema huwezi kujiunga shule mara mbili lkn wkt huo huo unasema elimu ya biblia haishi mpaka utakapoingi kaburini(graduation ni siku kulala mavumbini) you mean bado tunajifunza,unaona ugumu gani wa kwenda kuwasikiliza wakatoliki..????au kwa kuwa ni Wakatoliki...???je zingekuwa zile kambi za wasabato ungeenda ee...????
Wewe unatofauti gani na Mafarisayo..????
Sasa kwa nini wawe na hitaji la roho mtakatifu wakati wako na Bwana harusi na Neno mwenyewe?Hata huyo Yesu kabla ya kimleta Roho Mtakatifu aliwafundisha kwanza wanafunzi wake kwa miaka mitatu....
Unafikiri alikuwa hana uwezo wa kuwashishia siku anaanza ministry yake...?
Kanisa la kwanza lilianzia Israel alikozaliwa Yesu sio Roma Italia.Na Biblia walioandika ni wayahudi sio warumi.Kipindi Biblia inaandikwa warumi walikuwa wapagani.Waroma ndio walimhukumu Yesu kusulubiwa mtoa hukumu alikuwa ponsio pilato mroma.Na Yesu hakusulubiwa Na kuuawa Na wayahudi.Waliompiga Yesu Na kumgongomelea msalabani Na kumuuua kwa kumchoma mkuki ubavuni ni askari wa Kiroma.Yesu waliua wao .Ndio maana wasio wakatoliki wana mshikamano mkubwa Na wayahudi kuliko wakatoliki.Na huenda kuhiji Israel sio Roma sababu kule ndiko kanisa la kwanza Na huduma ya Kristo lilianzia.Wakikusanyika nyumba kwa nyumba Na siku ya Pentecost roho akawashukia kanisani ghorofani Israel sio Roma Italia.Hawaendi kuhiji Roma huenda Israel kwa wayahudi ambao hawakumpiga,kumtesa wala kimsulubisha Na kumuua Yesu.Wauaji wakuu wa Yesu ni Waroma.Hiyo Biblia wanayoijua ni ipi?Tungekuwa mbali kivipi, kwenye nini..? Kuna anayeweza Shindana kwenye dunia hii na Kanisa Katoliki kwenye mambo ya Biblia...??
Biblia ni mali ya Kanisa Katoliki....utaaanzia wapi kushindana nalo...? Tupo mbele kwenye kila kitu...
Elimu, Afya, Huduma, Mambo ya Kiroho....sisi ndip tunaongoza
Mkuu umeandika mambo makubwa mno.Wazungu walioleta ukristo kuanzia Ukatoliki Na uprotestant na kufundisha Mapadri Na wachungaji wenye PhD za Bible knowledge wanaojua kigiriki na kiebrania kwao ndio wameruhusu ushoga.Nadhani kwa Waafrika Biblia tujisomee tu wenyewe tuielewe tutakavyo Kila mtu kivyake kama wanigeria Na waghana ambao walisusa miaka mingi iliyopita kufundishwa elimu ya Biblia Na wazungu au waliosomeshwa Na wazungu kuwa wanafundisha head knowledge sio spiritual knowledge.Kumjua Mungu Na kujua Biblia ni vitu viwili tofauti.Wazungu wengi wanajua Biblia hawamjui Mungu Na hawana haja naye ndio maana ulaya makanisa yanafungwa watu hawaendi kanisani kabisa pamoja Na elimu ya Biblia kubwa waliyonayo.Kwa anayetaka kuongeza head knowledge ajiunge tu aongeze mistari ya kigiriki na kiebrania kichwani ili apanue head knowledge yake
Ujivuni wa elimu, afya, huduma, huku waumini wakiwa na njaa ya neno la Mungu ni kama kuwatoa muhanga katikati ya Vita kati ya uovu wa wema.Tungekuwa mbali kivipi, kwenye nini..? Kuna anayeweza Shindana kwenye dunia hii na Kanisa Katoliki kwenye mambo ya Biblia...??
Biblia ni mali ya Kanisa Katoliki....utaaanzia wapi kushindana nalo...? Tupo mbele kwenye kila kitu...
Elimu, Afya, Huduma, Mambo ya Kiroho....sisi ndip tunaongoza