mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
Hongera kwa uwezo wa kimalaika wa kudhani natumia google kukujibu huku hujui niko wapi na ninatumia google au vitabu au pre-understood maarifa, maana unajimilikisha sifa ya Mungu (omnipresent).ndugu yangu katika kristo isiwe kesi wala usipate tabu sana. najua kwa kila unachoulizwa unasubiri ukagoogle kwanza na kusearch mitandaoni ndio urudishe majibu.
hivyo nisikuchoshe sana na maswali yangu ya kitoto yanayohitaji urudi LIBRARY zenye marejeo ya kueleweka. ili kuelewa na kujibu unachoulizwa.
TAZAMA IZI SENTENSI ZAKO HAPA CHINI HASA KWENYE BOLD THEN UZITAFAKARI.
"You will continue to suffer if you have an emotional reaction to everything that is said to you. True power is sitting back and observing things with logic.True power is restraint."
siku njema .........
ila nathibitisha hujajibu kibibilia kupinga ninachokukosoa.
hii ikusaidie pia
Ila Mungu ambaye ni Omnipresent sio mpiga ramli bashiri, ameniona nilichokifanya na nilipotolea maelezo niliyokupa mkuu.
usishambulie mtu, shambulia hoja.