mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
Hongera kwa uwezo wa kimalaika wa kudhani natumia google kukujibu huku hujui niko wapi na ninatumia google au vitabu au pre-understood maarifa, maana unajimilikisha sifa ya Mungu (omnipresent).ndugu yangu katika kristo isiwe kesi wala usipate tabu sana. najua kwa kila unachoulizwa unasubiri ukagoogle kwanza na kusearch mitandaoni ndio urudishe majibu.
hivyo nisikuchoshe sana na maswali yangu ya kitoto yanayohitaji urudi LIBRARY zenye marejeo ya kueleweka. ili kuelewa na kujibu unachoulizwa.
TAZAMA IZI SENTENSI ZAKO HAPA CHINI HASA KWENYE BOLD THEN UZITAFAKARI.
"You will continue to suffer if you have an emotional reaction to everything that is said to you. True power is sitting back and observing things with logic.True power is restraint."
siku njema .........
Nashukuru kwa kuwa umemgundua.......ndugu yangu katika kristo isiwe kesi wala usipate tabu sana. najua kwa kila unachoulizwa unasubiri ukagoogle kwanza na kusearch mitandaoni ndio urudishe majibu.
Kubandika vifungu ndio kuijua biblia..Maana wakatoliki kwa kwelii biblia ni wachache sana wanaoijua maana hata kwenye mijadala wao ni maneno bila uthibitisho wa angalau aya moja
Shukuru Mungu kuna google......mkuu @SALA NA KAZI
naomba nikuache na wanavyuoni wengine muendelee na ukaribisho
niwatakie mafunzo mema ya kidini.
ahsante nimekuelewa ......mkuu SALA NA KAZI
naomba nikuache na wanavyuoni wengine muendelee na ukaribisho
niwatakie mafunzo mema ya kidini.
Ila angalizo msijejikuta mnachuja MBU huku mnameza NGAMIA. Msijejikuta mnabobea kwenye Head knowledge na kudogoka katika uhusiano halisi wa Mwanadamu na Yesu.
Maana mambo mengi ya adili, maagizo ya Mungu mengi yako wazi hayahitaji ugiriki wala uebrania ila unyenyekevu tu na kuamua kuyafuata na kuachana na tamaduni za kibinadamu zilizoYeshushwa.
Sio kosa lako ni kosa muasisi wa kikundi chenu(SDAC).....,hahaha
mkuu tunawapa pongezi kwa uamuzi mzuri, maana italeta tija hata kwenye mijadala mbalimbali, kutakuwa na upungufu wa mtu kutoa biblical verses wakati mwenzako anatoa utetezinwa kidini au kimakaririsho. au anatuhumiwa marehemu EGW badala ya kuleta vifungu.
hii ni hatua nzuri ya kupongezwa na kila mtu mwenye akili nzuri.
napendekeza
Jiwe la Ma
Sanctus
Otoro
Ilogello
Kimaro
Sala na Kazi
mtazamo
...
wasikose
Wewe waijua biblia...???Niwatakie masomo mema kwa ambao mtaenda kusoma naimani waalimu watawaweka wazi juu ya kweli za biblia na siyo mafundisho ya binadamu
Maana wakatoliki kwa kwelii biblia ni wachache sana wanaoijua maana hata kwenye mijadala wao ni maneno bila uthibitisho wa angalau aya moja
Unspoteza muda kumjibu huyo.....Huyo ni kama faru aliyekatwa kichwa...linakimbia hovyo hovyo huku na hukuUPENDO.....,
Ukimpenda mwenzako lzm utashirikiana naye,
Ukimpenda mwenzako hutamdharau,
Ukimpenda mwenzako hutaacha kuja pale anapokupa mwaliko nyumbani kwake,
Ukimpenda mwenzako hutamfanyia mizaha ya kitoto..,na mengine mengi.
Ni hayo tuu ambayo nayaona kwenu Wasabato mnaojiona kuwa Mbingu ni Mali yenu.
asante kwa maoni na mitazamo iliyojaa hisia kali na kupungukiwa uhalisia. nimeaga hivyo sitacomment kipya chochote kuhusu mada zaidi ya kutambua michango na maoni .Sio kosa lako ni kosa muasisi wa kikundi chenu(SDAC).....,
EGW alihamasisha chuki miongoni mwenu na jamii zinazo wazunguka,mulianza na Wakatoliki lkn leo mumepanuka zaidi hadi kwa Waprotestanti,sio mara moja Mitale umekuwa ukiwalaumu Waprotestanti..,rejea mjadala wako na Ilogelo.
Mkimaliza kutubagua sisi mtajirudia wenyewe kwa wenyewe..,its just matter of time.
Nenda kwenye muungano wa Wakristo Afrika SDAC hawapo...!!!
Nenda kwenye muungano wa Wakristo Africka Mashariki SDAC hawapo...!!!
Nenda kwenye umoja wa kusoma biblia Afrika Mashariki SDAC hawapo..!!!
Nenda katika ule muungano wa kuchambua maandiko matakatifu wa nchi za kusini mwa jangwa la sahara SDAC hawapo...!!!!!
Njoo kwenye muungano wa Wakristo Tanzania SDAC hawapo...!!!
Wahenga walisema "Mchoyo hana rafiki" na tabia kuu ya Mchoyo ni kukosa Upendo...,
Bwana wetu Yesu Kristo alituachia amri kuu ya UPENDO.....,
Ukimpenda mwenzako lzm utashirikiana naye,
Ukimpenda mwenzako hutamdharau,
Ukimpenda mwenzako hutaacha kuja pale anapokupa mwaliko nyumbani kwake,
Ukimpenda mwenzako hutamfanyia mizaha ya kitoto..,na mengine mengi.
Ni hayo tuu ambayo nayaona kwenu Wasabato mnaojiona kuwa Mbingu ni Mali yenu.
Hapo hakuna hisia ila uhalisia.....Ndivyo mlivyojengwa kwenye misingi ya chuki na wivu....Hamna tofauti na Waislam....ni bahati EGW hakuwaambia mkiua mtairithi pepo...vingenevyo mngefikia hatua ya kuua kabisa..asante kwa maoni na mitazamo iliyojaa hisia kali na kupungukiwa uhalisia. nimeaga hivyo sitacomment kipya chochote kuhusu mada zaidi ya kutambua michango na maoni .
ubarikiwe.
Tatizo hamko serious, mmevaki kuwalalamikia wasabato!.. Anzisheni mfumo was kuwafundisha waumini ndani ya makanisa yao... Sasa wewe unafikiri kwenye hivyo vituo wangapu mtafika?.. Yaani waumini wamejaa tele makanisani kwenu lakini hawajui maandiko kabisa!.. Wenzenu wasabato, kila jumamosi wana vipindi Vingi vya mafundisho na pia wana mwongozo was kujifunza biblia kila siku asubuhi na jioni kabla ya kulala.. Sasa unadhani mtalinfana nao...Ni kweli kabisa Mkuu. Kama kuna jambo lilichelewa kufanywa na Kanisa ni hili.
Tumewapa Wasabato ujiko Wa bure. Leo wanatembea vifua mbele mitaani na mikogo kwa kujifanya eti wao ndio wanaijua Biblia kuliko Wakatoliki. Watu wadandiaji kufikia hatua ya kutafsiri Biblia kwamba inatulenga sisi kwa mambo kadha Wa kadha ni uzembe ulifanyika!
Kwa kweli acha tu kituo hicho kije.
Yaani kanisa kubwa hivi unadiriki kusema hakuna wataalamu kweli.. Maaskofu na mapadre huwa wanaenda kusoma mini sasa?... Mimi nawashauri anzisheni utaratibu was kutoa Haya mafundisho kwenye vigango. Tofauti na hapo mtakuwa hamtaki waumini wenu wajifunze maandiko kwa kina. Jitahidini kuwafundisha watu wamjue Yesu kwa kuwapa mafundisho ya Biblia na sio watu wawe wanakuja kanisani kwa vile wamerithi dini toka kwa wazazi..ndio wameanza ila naamini huko kote watafika kwani kazi sio rahisi ni nzito na wataalamu (specialist in sacred scriptures) kwetu hapa ni wachache sana. cha msingi tuombe uzima.
Hatuna muda wa kuwalalamikia Wasabato...Hebu wacha kulishusha Kanisa Katoliki katika Kiwango hicho cha Chini.... Wasabato siyo Wakristo.. Na kazi ya Wapinga Kristo ni kulichafua Kanisa la Kristo na Krisrto mwenyewe.... Wasabato wamejificha kwenye kichaka cha Ukristo ili wampinge Kristo vizuri......Tatizo hamko serious, mmevaki kuwalalamikia wasabato!.. Anzisheni mfumo was kuwafundisha waumini ndani ya makanisa yao... Sasa wewe unafikiri kwenye hivyo vituo wangapu mtafika?.. Yaani waumini wamejaa tele makanisani kwenu lakini hawajui maandiko kabisa!.. Wenzenu wasabato, kila jumamosi wana vipindi Vingi vya mafundisho na pia wana mwongozo was kujifunza biblia kila siku asubuhi na jioni kabla ya kulala.. Sasa unadhani mtalinfana nao...
Hivi unafahamu ya Utaalamu wewe....? Au unafikiri Kuijua Biblia ni kuikariri...Unafikiri Kukariri Anatomy, Physiology na Pathology ndio kuwa Dakktari...? Au namjibu mtoto ni nini./..? Hebu rudi shule halafu ruhusu Logic na reasoning capacity yako ikueYaani kanisa kubwa hivi unadiriki kusema hakuna wataalamu kweli
Hebu nikuulize kitu, unapimae kuwa mmoja nafahamu maandiko..? Lengo la maandiko ni nini..?Yaani waumini wamejaa tele makanisani kwenu lakini hawajui maandiko kabisa!..
Unataka Uhalisia upi...????asante kwa maoni na mitazamo iliyojaa hisia kali na kupungukiwa uhalisia. nimeaga hivyo sitacomment kipya chochote kuhusu mada zaidi ya kutambua michango na maoni .
ubarikiwe.
Unataka Uhalisia upi...????
Sometimes you pretend like educated person but sometimes you pretend like illiterate one...!!!
Huu Uzi umekufunua zaidi,sijaona haja ya wewe kubishana humu...,Bwana wetu Yesu Kristo alizaliwa akalikuta Sinagogi la Wayahudi ambapo ndani yake walikuwa wanasali Mafarisayo,Masadukayo,Walimu wa sheria pamoja na waamini wa kawaida lkn Yesu aliingia ndani ya Sinagogi na kujumuika nao...,
Yesu Kristo mwana wa Mungu alikaa na kula na kunywa na watoza ushuru ambao nyakati zile walionekana ni watu wasiofaa katika jamii...,
Leo hii kuna Mashirikisho mengi ya Wakristo ndani na nje ya nchi,ndani na nje ya Africa lkn kamwe SDAC wamekataa katakata kushiriki,kama unataka nitakuletea hayo mashirikisho kisha uniambie kama kikundi chako cha SDAC kipo ndani yake nitakuletea...!!!Huo Uhalisia unaoutaka wewe ni upi wkt unajua SDAC imejitenga na Wakristo na ndio maana Otorong'ong'o haishi kusema kuwa "Wasabato sio Wakristo" is kind of Antichrist waliojificha katika mwamvuli wa Kristo...
Narudia tena Uzi huu umekufunua na kuuonesha uwezo wako mdogo katika masuala maandiko matakatifu,kamwe hakuna aliyeweza kujificha kwenye mgongo wa Kristo na Bibkia akaendelea kudumu mda mrefu bila kugundulika upotofu wake...,rejea waasisi wa SDAC,kina William Miller na wenzake miisho yao ilikuwa sio ya kawaida.
asante kwa maoni.Hapo hakuna hisia ila uhalisia.....Ndivyo mlivyojengwa kwenye misingi ya chuki na wivu....Hamna tofauti na Waislam....ni bahati EGW hakuwaambia mkiua mtairithi pepo...vingenevyo mngefikia hatua ya kuua kabisa..
Hiyo ni Fact....Full Stop and Long Break