Tumeandaa tafrija fupi ya kuwapongeza waheshimiwa Tundu Lissu na John Heche kwa ushindi wao katika uchaguzi Mkuu wa CHADEMA uliofanyika jana/leo.
Lakini pia katika tafrija hiyo tutampongeza Freeman Mbowe kwa kukiongoza chama kwa muda wote huo. Tafrija itafanyika kesho tarehe 23.01.2025 kuanzia saa hapa hapa mjini jf.