Karibuni Matunda. Napenda sana

Karibuni Matunda. Napenda sana

Sana kwasababu ya iron na potassium mineral. Ndizi ndio tunda la kwanza kwenye uwakilishi wa matunda. Wataalam wa afya wanashauri ule angalau hata moja kabla ya kulala.

N de A
Mfalme wa matunda duniani ni parachichi
 
Tunda langu PSL god popote ulipo.
Screenshot_20250308_165351_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom