PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
🤤Na haka kamvua huku nje, mnashangaa asubuhi hii hapa.
Ila kufanya mapenzi raha jamani, uwiiiiiiii!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤤Na haka kamvua huku nje, mnashangaa asubuhi hii hapa.
Ila kufanya mapenzi raha jamani, uwiiiiiiii!!!!
Yeah msimu wa masika ,bora inyeshe joto lilikuwa kare sana.TMA wamesema mikoa 25 itapata mvua za nguvu.
Ndo zaanza nadhani.
Thanks my daddy!!!💗💖 Cheers 🍻 to our love my wife, 🍾
Hahaha. Hiyo Ndizi imported kutoka Ecuador/Costa Rica. Ns hizo grapes south Africa.Unakula matunda ya Wa Danes..phalla wewe😂
Nasikia Dar watu wanalala nje.Yeah msimu wa masika ,bora inyeshe joto lilikuwa kare sana.
Nasikia Israel ndio inaongoza kwa kilimo cha matunda Middle East yote, hukuyanunua kutoka Israel kweli?Hahaha
N de A
Nasikia Dar watu wanalala nje.
Afadhali Dodoma usiku huwa kuna kabaridi fulani hv.
Yeah!Yeah ,Dar kuna sehemu kipindi cha joto hauwezi kulala ndani labda uwe na AC maana hata feni halifai....Wanaoenjoi ni wale waliojenga sehemu yenye nafasi siyo mibanano.
Ahsante mkuu
Wala Bangi Si Mbaya,Bin-Adamu Ndio Wa HovyoBange mbaya sana Kiongozi.
Nipo na wewe mpaka wakuue😂😂Wait for my vicious move , sasa nimebadilika nimekuwa Mafia nakuacha kama panya Mzembe na nakupa na misosi ili USHIBE ndi ! ndio ! ndi ! Kisha nikudake vizuri kizembe kabisa , Maarasss Mongo you have done something that you should never have done under any circumstancesView attachment 3265105
View attachment 3265114
PSL god Selikavu Intelligent businessman Msela Wa Kitaa
Pamoja sana , ila Bill Muhuni ameform alliance na Mongolian kunishambulia .Nipo na wewe mpaka wakuue😂😂
Kaka naona ndumu kwa mbali😁
Vyote Ata chaukucha😹😹Akuachie nini, tunda au chaukucha
Ama yote ni majibu😂
Sasa hivi anaogopa kumalizia baada ya Mongolian Garbage kufyekwa na sasa yupo kifungoni ila bado kakomalia tu " N de A " mpaka nimeshangaa jamaa kweli bange zimemkolea ..