Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
adriz kaandika bange mbaya, nikizoom pembeni ya screen nakutana na mneli umesundwa kwenye rizlaπ
Si kuna na hiyo aliyopigia pichaMmmh afu tulishakubaliana tunaachana na matumizi ya Tecno au mnasemaje wakuu
Naona Sigara inasubiri
Unakula matunda ya Wa Danes..phalla weweπ
Mfalme wa matunda duniani ni parachichiSana kwasababu ya iron na potassium mineral. Ndizi ndio tunda la kwanza kwenye uwakilishi wa matunda. Wataalam wa afya wanashauri ule angalau hata moja kabla ya kulala.
N de A
Sio sigara iite BluntNaona Sigara inasubiri
Kunatofauti gani kati ya sigF na BluntSio sigara iite Blunt
Njoo unile mimi....Asenti boonkiyani pass de dachi pande mi saidi.
Akuachie nini, tunda au chaukuchaNiachie kiongozi
Hahahaaa nipo minjingu ,share location kama karibu niite bolt nije kuishenyeta πππ.Njoo unile mimi....
Na haka kamvua huku nje, mnashangaa asubuhi hii hapa.Hahahaaa nipo minjingu ,share location kama karibu niite bolt nije kuishenyeta πππ.
Tushafunga mapazia
Bangi inasizishaKunatofauti gani kati ya sigF na Blunt
Na haka kamvua huku nje, mnashangaa asubuhi hii hapa.
Ila kufanya mapenzi raha jamani, uwiiiiiiii!!!!
Hunaga uchoyo mremboNjoo unile mimi....
TMA wamesema mikoa 25 itapata mvua za nguvu.Hatare sane mwanawane mvua karibu mikoa yote inanyesha.
ππ Cheers π» to our love my wife, πΎTunda langu PSL god popote ulipo.View attachment 3265217