Sasa hivi anaogopa kumalizia baada ya Mongolian Garbage kufyekwa na sasa yupo kifungoni ila bado kakomalia tu " N de A " mpaka nimeshangaa jamaa kweli bange zimemkolea ..
Nasubiri atambe angalau wiki Moja kabla ya kupelekea moto ID tegemezi ya
Maghayo iungane na mwenzake Mongolian Garbage