Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Huijui jf wewe...! Yuko right....soma nyuzi zake malaika walivyomkarahisha...! Ngumu sana kutoa connection kwa jamii iliyo na negativity za kiwango cha mwendokasi...acha tuteseke tufe tu wabaki wenye akili postive!Wewe umejaa matambo na majigambo tu. Ukiulizwa kuhusu "mchongo" unakaa kimya.
Mzee baba wape ramani vijana wenzako waje kupambana. Hatusemi uwatumie pesa, hapana, bali wape ramani namna ya kupata "visa" na taratibu zake ili anayeweza basi achangamkie fursa.
Acha uzambwa...pagale liko wapi..mbona unadharau ivoUnaishi kwa tambo kwenye hayo mapagale?
Hapa ni updates tu za Norway hakuna connection....😁Wewe umejaa matambo na majigambo tu. Ukiulizwa kuhusu "mchongo" unakaa kimya.
Mzee baba wape ramani vijana wenzako waje kupambana. Hatusemi uwatumie pesa, hapana, bali wape ramani namna ya kupata "visa" na taratibu zake ili anayeweza basi achangamkie fursa.
Yaani, wabongo kwa kupenda sifa ni balaa.Hapa ni updates tu za Norway hakuna connection....😁
Chimbo za ngono utapewa zote utaambiwa na bei elekezi....Yaani, wabongo kwa kupenda sifa ni balaa.
Lakini ukiwaambia wakupe connection za maisha ni wagumu balaa.
Lakini ukiwaambia wakupe zile connection za "ngono" ,yaani fasta unapewa 😂😂😂
Kwenye forum kama hii huwezi kukosa watu wenye negative attitudes.Huijui jf wewe...! Yuko right....soma nyuzi zake malaika walivyomkarahisha...! Ngumu sana kutoa connection kwa jamii iliyo na negativity za kiwango cha mwendokasi...acha tuteseke tufe tu wabaki wenye akili postive!
Kishasema haweki, aliwekaga akatukanwa akaitwa tapeli, anasema we tafuta tu mchongo ukifika Norway ndio umtafute😂😂😂Kwenye forum kama hii huwezi kukosa watu wenye negative attitudes.
Yeye Per Diem aweke "mchongo" , atakaye fuatilia sawa, mwenye kuponda pia sawa.
Lakini siyo yeye tu. Wabongo wote ndivyo walivyo.Kishasema haweki, aliwekaga akatukanwa akaitwa tapeli, anasema we tafuta tu mchongo ukifika Norway ndio umtafute😂😂😂
Roho mbaya...Lakini siyo yeye tu. Wabongo wote ndivyo walivyo.
Nina washikaji kibao wako Ulaya na Marekani. Lakini ikifika kwenye kupeana ramani za maisha ni wagumu balaa.
Wabongo sijui tuna shida gani.
M
Acha uzambwa...pagale liko wapi..mbona unadharau ivo
Turn on notification na usisahau ku subscribeHapa ni updates tu za Norway hakuna connection....😁
Mkuu mdau alishaandika kwenye nyuzi kadhaa huko nyuma kuwa hatoi connection hadi ufike huko ndiyo umtafuteWeka connection in total basi
Wageni wanaokuja Tz kufanyakazi nao ni watumwa?Nimeajiri watumwa kama wewe wengi tu.
😂😂😂😂Turn on notification na usisahau ku subscribe
Aliekwambia mi fukara nani we mbuziPata hela nawe uanze dharau, unajivunia ufukara?
Hii jeuri usipokufa kwa ajali,sijuiNimeajiri watumwa kama wewe wengi tu.