Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Wewe umejaa matambo na majigambo tu. Ukiulizwa kuhusu "mchongo" unakaa kimya.
Mzee baba wape ramani vijana wenzako waje kupambana. Hatusemi uwatumie pesa, hapana, bali wape ramani namna ya kupata "visa" na taratibu zake ili anayeweza basi achangamkie fursa.