Karibuni tupambane huku Malmö, Sweden. Malipo si mabaya

Karibuni tupambane huku Malmö, Sweden. Malipo si mabaya

Roho za kwanini tu 😅😅😅
Sijui sisi Watz tuna shida gani. Wenzetu Wakenya na Wanaigeria wanapigana sana tafu kwenye ishu za kazi ughaibuni.

Ni rahisi sana kwa Mkenya au Mnaigeria kumpa mwenzake ramani ya kwenda ughaibuni kuliko sisi Wabongo. Na ndiyo maana hawa wenzetu huko ughaibuni wamejaa sana kuliko sisi. Ukiachilia mbali swala la "elimu" yao kutuzidi lakini pia wanapigana tafu sana.

Mkenya yupo tayari kumchangia harambee jirani yake ili mtoto akasome Ulaya lakini sisi Wabongo tunachojua ni kununuliana tu pombe na kuchangia harusi.
Ukimwambia Mbongo akuchangie ili mtoto aende shule ni kama vile umemwambia urafiki wenu ufe. Lakini mpelekee kadi ya mchango wa harusi uone atakavyofurahia.

What a pathetic nation we are!!
 
vyote mkuu, kuajiriwa, kujiajiri, teuzi ni kutumika kwenye nchi yako........unashiriki kuijenga nchi yako ifanane na huko unakoona pameendelea zaidi. Vijana washiriki zaidi kujenga nchi zao, ili wajivunie maendeleo na mafanikio kwenye nchi zao siyo kujazwa na mentality za kitumwa za kujivunia maendeleo kwenye mataifa mengine.......hii ndo spirit ya uzalendo ambayo vijana wanatakiwa kuwa nayo. Hata ikitokea wameenda huko bado wanakuwa na hamu ya kurudi kushiriki kuendeleza nchi zao.....
wewe ni mpumbavu sana..jipige makofi halafu niulize kwanini!
 
Per Diem huwa hataki kabisa kujuana!. Yeye anakupa picha na kukuelezea maisha ya huko, utajua mwenyewe.

Mbona Wanaigeria wanapeana michongo Per Diem? Au wewe ni mbinafsi?
Labda anawapa michongo ndugu zake tu!!
 
Back
Top Bottom