Karibuni tupambane huku Malmö, Sweden. Malipo si mabaya

Karibuni tupambane huku Malmö, Sweden. Malipo si mabaya

Kutumika kwenye nchi yako unamaanisha nini kuajiriwa hapa Tz au Teuzi??
vyote mkuu, kuajiriwa, kujiajiri, teuzi ni kutumika kwenye nchi yako........unashiriki kuijenga nchi yako ifanane na huko unakoona pameendelea zaidi. Vijana washiriki zaidi kujenga nchi zao, ili wajivunie maendeleo na mafanikio kwenye nchi zao siyo kujazwa na mentality za kitumwa za kujivunia maendeleo kwenye mataifa mengine.......hii ndo spirit ya uzalendo ambayo vijana wanatakiwa kuwa nayo. Hata ikitokea wameenda huko bado wanakuwa na hamu ya kurudi kushiriki kuendeleza nchi zao.....
 
Siyo roho mbali bali tambo na uhalisia ni tofauti. Ukifika huko utawahurumia maisha wanayoishi vs maneno yao humu.

Ni sawa na wale wanaoona sifa kusema 'naishi Dar' kumbe loh
Hahaaa hii ya dar naiunga mkono...wakazi wengi wa dar makazi yao ni ya kuhurumiwa...ukiwatoa wale wanaojiweza!
Ila yote kwa yote nje ni nje tu mkuu🙂
 
vyote mkuu, kuajiriwa, kujiajiri, teuzi ni kutumika kwenye nchi yako........unashiriki kuijenga nchi yako ifanane na huko unakoona pameendelea zaidi.
Nikifika umri wako wa uzee , labda na mimi nitawaza kama wewe uwazavyo!
 
Wapi huko wameandika tuliumbwa ili mtuoe? Sema tuliumbwa kuwasaidia mahamu yenu yasio na kichwa wala miguu...ajabu tukawazidi akili[emoji3062][emoji3062]!

Akili gani unajaribu kujadili hapa!

Katika watu 100, ikitokea wanawake 10 tu wa 'maana' (who sounds) basi itakuwa wanawake wameshinda…. wachache hao watapigiwa chapuo ili kuwainua.

Maandiko matakatifu ni timilifu, mwanamke aliumbwa kwa kusudi maalumu…. mengine ni ubatili tu na kujilisha upepo.
 
Akili gani unajaribu kujadili hapa!

Katika watu 100, ikitokea wanawake 10 tu wa 'maana' (who sounds) basi itakuwa wanawake wameshinda…. wachache hao watapigiwa chapuo ili kuwainua.

Maandiko matakatifu ni timilifu, mwanamke aliumbwa kwa kusudi maalumu…. mengine ni ubatili tu na kujilisha upepo.
😀😀😀..kubalini tu...upepo hiyokwio
 
Anatuchangamsha tu, wakati sisi tunawaza kusaka chapaa popote bila kujali mipaka ya nchi😂😂
Tena mimi nikionaga jinsia me inahanya hanya maisha huwa najiuliza kama wako timamu...kuna uzi sijui ndo huu kuna jamaa anauliza mtu wa kumpokea...wtf!.hv woga wenu wa kwenda huko mbali huwa ni nini ukiachana na uchumi( nauli) Mtu sio bubu,bahati umesoma, unaogopa nini kusepa? Mm ningekuwa me sijui kama ningekuwa nalalamika maisha magumu..mtu me na huna mke wala familia??.ajabu sana
 
Back
Top Bottom