Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Minimum per hour ni Bei gani?Umemaliza yote hapo, utafauti upo kwenye malipo. Huku malipo ni makubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Minimum per hour ni Bei gani?Umemaliza yote hapo, utafauti upo kwenye malipo. Huku malipo ni makubwa sana
vyote mkuu, kuajiriwa, kujiajiri, teuzi ni kutumika kwenye nchi yako........unashiriki kuijenga nchi yako ifanane na huko unakoona pameendelea zaidi. Vijana washiriki zaidi kujenga nchi zao, ili wajivunie maendeleo na mafanikio kwenye nchi zao siyo kujazwa na mentality za kitumwa za kujivunia maendeleo kwenye mataifa mengine.......hii ndo spirit ya uzalendo ambayo vijana wanatakiwa kuwa nayo. Hata ikitokea wameenda huko bado wanakuwa na hamu ya kurudi kushiriki kuendeleza nchi zao.....Kutumika kwenye nchi yako unamaanisha nini kuajiriwa hapa Tz au Teuzi??
Achana na nyumisi mkuu..kwanza mtu mwenyewe amelewa madarakaKutumika kwenye nchi yako unamaanisha nini kuajiriwa hapa Tz au Teuzi??
Hahaaa hii ya dar naiunga mkono...wakazi wengi wa dar makazi yao ni ya kuhurumiwa...ukiwatoa wale wanaojiweza!Siyo roho mbali bali tambo na uhalisia ni tofauti. Ukifika huko utawahurumia maisha wanayoishi vs maneno yao humu.
Ni sawa na wale wanaoona sifa kusema 'naishi Dar' kumbe loh
Nikifika umri wako wa uzee , labda na mimi nitawaza kama wewe uwazavyo!vyote mkuu, kuajiriwa, kujiajiri, teuzi ni kutumika kwenye nchi yako........unashiriki kuijenga nchi yako ifanane na huko unakoona pameendelea zaidi.
Siyo kulewa madaraka, ni kale kauzalendo ka kutaka kujivunia nchi yangu......nyie wa kike mnaolewa, sisi wa kiume ndo tunahisi huu mzigo mkubwa kabisa wa kimajukumu.Achana na nyumisi mkuu..kwanza mtu mwenyewe amelewa madaraka
Vp teacher unataka ukauze pochi ya ngozi Norway?Hapa ni updates tu za Norway hakuna connection....[emoji16]
Mnaonaga kuolewa dili eh...kwamba ukiolewa ndo umemaliza lengo kuu la kuletwa duniani!!..mawazo mfu mno hayoSiyo kulewa madaraka, ni kale kauzalendo ka kutaka kujivunia nchi yangu......nyie wa kike mnaolewa, sisi wa kiume ndo tunahisi huu mzigo mkubwa kabisa wa kimajukumu.
Mtumwa?? Au jamaa yuko kazini?Nimeajiri watumwa kama wewe wengi tu.
NdioVp teacher unataka ukauze pochi ya ngozi Norway?
Mnaonaga kuolewa dili eh...kwamba ukiolewa ndo umemaliza lengo kuu la kuletwa duniani!!..mawazo mfu mno hayo
Wapi huko wameandika tuliumbwa ili mtuoe? Sema tuliumbwa kuwasaidia mahamu yenu yasio na kichwa wala miguu...ajabu tukawazidi akili🥵🥵!Mwanamke aliumbwa ili aolewe, rejea sababu ya kuumbwa kwake…. imeisha hiyoooo.[emoji1]
Kumbe ni vichochoro vya dar...😁Siyo roho mbali bali tambo na uhalisia ni tofauti. Ukifika huko utawahurumia maisha wanayoishi vs maneno yao humu.
Ni sawa na wale wanaoona sifa kusema 'naishi Dar' kumbe loh
Wapi huko wameandika tuliumbwa ili mtuoe? Sema tuliumbwa kuwasaidia mahamu yenu yasio na kichwa wala miguu...ajabu tukawazidi akili[emoji3062][emoji3062]!
😀😀😀..kubalini tu...upepo hiyokwioAkili gani unajaribu kujadili hapa!
Katika watu 100, ikitokea wanawake 10 tu wa 'maana' (who sounds) basi itakuwa wanawake wameshinda…. wachache hao watapigiwa chapuo ili kuwainua.
Maandiko matakatifu ni timilifu, mwanamke aliumbwa kwa kusudi maalumu…. mengine ni ubatili tu na kujilisha upepo.
Anatuchangamsha tu, wakati sisi tunawaza kusaka chapaa popote bila kujali mipaka ya nchi😂😂Achana na nyumisi mkuu..kwanza mtu mwenyewe amelewa madaraka
Tena mimi nikionaga jinsia me inahanya hanya maisha huwa najiuliza kama wako timamu...kuna uzi sijui ndo huu kuna jamaa anauliza mtu wa kumpokea...wtf!.hv woga wenu wa kwenda huko mbali huwa ni nini ukiachana na uchumi( nauli) Mtu sio bubu,bahati umesoma, unaogopa nini kusepa? Mm ningekuwa me sijui kama ningekuwa nalalamika maisha magumu..mtu me na huna mke wala familia??.ajabu sanaAnatuchangamsha tu, wakati sisi tunawaza kusaka chapaa popote bila kujali mipaka ya nchi😂😂