Sijui Tz tumekosea wapi, mipango miji ya hovyo sana
Sijui sisi Watz tuna shida gani. Wenzetu Wakenya na Wanaigeria wanapigana sana tafu kwenye ishu za kazi ughaibuni.Roho za kwanini tu 😅😅😅
Kkkkkkk najua jmn wala usijali ni jambo la kawaida sana kwa sisi ma hastler!!Ntakupm asbh..ila siko mamtoni mkuu[emoji3]
Wabongo wabinafsi mnoPer Diem huwa hataki kabisa kujuana!. Yeye anakupa picha na kukuelezea maisha ya huko, utajua mwenyewe.
Mbona Wanaigeria wanapeana michongo Per Diem? Au wewe ni mbinafsi?
WachoyoWewe umejaa matambo na majigambo tu. Ukiulizwa kuhusu "mchongo" unakaa kimya.
Mzee baba wape ramani vijana wenzako waje kupambana. Hatusemi uwatumie pesa, hapana, bali wape ramani namna ya kupata "visa" na taratibu zake ili anayeweza basi achangamkie fursa.
Roho mbaya tuLakini siyo yeye tu. Wabongo wote ndivyo walivyo.
Nina washikaji kibao wako Ulaya na Marekani. Lakini ikifika kwenye kupeana ramani za maisha ni wagumu balaa.
Wabongo sijui tuna shida gani.
Ukipewa jibu niiteMinimum per hour ni Bei gani?
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utumwa hadi kwenye ushabiki wa mpira, lazima uweke nembo ya chelsea kwenye avatar? kijijini kwenu hakuna timu?
Umewahi kuishi Brazil au nchi wanayongea kispanish?Kkkkkkk najua jmn wala usijali ni jambo la kawaida sana kwa sisi ma hastler!!
Mbona mimi nataka kukupa mpaka moyo wangu lakini hutakiRoho mbaya tu
wewe ni mpumbavu sana..jipige makofi halafu niulize kwanini!vyote mkuu, kuajiriwa, kujiajiri, teuzi ni kutumika kwenye nchi yako........unashiriki kuijenga nchi yako ifanane na huko unakoona pameendelea zaidi. Vijana washiriki zaidi kujenga nchi zao, ili wajivunie maendeleo na mafanikio kwenye nchi zao siyo kujazwa na mentality za kitumwa za kujivunia maendeleo kwenye mataifa mengine.......hii ndo spirit ya uzalendo ambayo vijana wanatakiwa kuwa nayo. Hata ikitokea wameenda huko bado wanakuwa na hamu ya kurudi kushiriki kuendeleza nchi zao.....
Labda anawapa michongo ndugu zake tu!!Per Diem huwa hataki kabisa kujuana!. Yeye anakupa picha na kukuelezea maisha ya huko, utajua mwenyewe.
Mbona Wanaigeria wanapeana michongo Per Diem? Au wewe ni mbinafsi?
Basi sawa dada yangu....sema nilikukuta chobisi unapiga nyeto
Upo sahihi kabisa..Mama yake musa mayya ni daktari pale mirembe hospital nahisi wewe ni mwenyeji sana pale hebu niambie chobisi ndio nini au ni wodi uliyokuwa umelazwa?[emoji848][emoji848]
Oooh! kumbe ulikuwaga umelazwa pale, bas hongera kwa mama taaruma yake imesaidia wewe kupona malazi ya akili japo huwa hayaponi kabosa 100%Upo sahihi kabisa..