Karibuni tupeane 'Maujanja' ya kujua jinsi Wanawake (Wapenzi Wetu ) Wanavyoturoga sana Wanaume

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
1. Ukiona Siku yoyote unasifia mno Chakula na Mpenzi au Mkeo jua ameshakuroga.

2. Ukiona mkiwa Mapenzini halafu umemaliza Kupiga Mshindo Milionea ( yaani Umemkojolea ) na haraka sana anawahi kutaka Kukufuta tena kwa Kitambaa chake jua unaenda Kurogwa vibaya sana.

3. Ukiona Mpenzi/ Mkeo anakulazimisha sana uvae Nguo fulani jua alishaipeleka kwa 'Mtaalam' na ina Masharti hivyo analazimisha Uivae ili Dawa ikubali zaidi.

Karibuni nanyi mtaje mnazozijua.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo ni limbwata la old version,
Watu wameshatoka huko, now limbwata new Version,
Hakuna kuchomoa wala kuruka.
 
Rubbish!Very poor reasoning.
 
Non sense ....Popoma katika ubora wako
 
Ukiona huna usingizi saa kumi usiku na beibi Yuko pembeni yako amelala fofofo ujue ulisha lishwa limbwata Tena la kisukuma.
 
Ukiona na Mwanaume unajiita Rijali kabisa lakini bado Hujiamini Amini Unahisi Unarogwa Ujue we ni Zuzu!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo ni limbwata la old version,
Watu wameshatoka huko, now limbwata new Version,
Hakuna kuchomoa wala kuruka.
Sasa hivi unafungwa miguu na mabawa
 
Back
Top Bottom